Well, kwenye Comics kiongozi wa Avangers ni Steve Rogers ila baada ya Tukio la Civil War kiongozi wa Avangers alikuja kua Tony stark. Ndio maana kwenye muvi ya Avangers infinity way Cap hakuvaa nguo yenye bendera wala nyota maana yake he's out of law coz that time alikua bado ni fugitive of the law. Kwenye muvi wanaonyesha tony na Cap wote ni viongozi.
Cap ndio kikomgwe Coz alikua ana 97/6 yrs.
____
Naweka ahadi hapa kama MoM itafikisha 1.2B$ basi nitaacha kushabikia Marvel Studios. Wiki Sasa hata 600M hawajafika.