Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Hahahah sio wabaya sana lakinHawajiwezi hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah sio wabaya sana lakinHawajiwezi hao
Kama uyo Cap America mpya kachakazwa kichizi kwenye The Falcon and The Winter Soldier.Hahahah sio wabaya sana lakin
Kumbuka wake ni supersoldiers. Wana nguvu zisizo natural.Kama uyo Cap America mpya kachakazwa kichizi kwenye The Falcon and The Winter Soldier.
Huyo noma nimeona hiyo mzee.Mtaalamu wa Multiple personality ni James McaVoy kama uliangalia Split na Glass unapata picha
sijaimaliza hadi leo, ila nngependa kuona character development ya Kon-shu huko mbele hahaha ananifurahisha anakwambia “i am the justice” [emoji28]
Lakini ile mirnior (nyundo) sijui inaonesha ila crucks, kwa kuona kama ime ungwa ungwa unapata hisia ni ile ambayo dada yake Thor aliivunja kwenye RagnarokTHOR: love and thunder
Nina mawazo kidogo niliyokuwa nayawaza na kujenga theory hii kichwani
**Baada ya kiona subtrailer week iliyopita nilikiwa nawaza vitu hivi.
- kuna uwezekano mkubwa ndugu yetu Thor(original) baada ya kupitia mengi sana hapo nyuma kabla ya Endgame kisha kuungana na Guardians. Bado hakuwa sawa, na mawazo yake bado hayakuwa tayari kupokea uhalisia wa kupoteza baadhi ya watu wake wa karibu tangu asgerd ilivyoharibiwa, mpaka uvamizi wa Thanos kule kwenye space ship iliyoongeza machungu zaidi kwa kupoteza watu wengi wakiwemo Loki na getkeeper wa asgard.
- Thor pamoja na Guardians wanatembelea planet mbalimbali mwisho wa siku wanagundua kuna multiple asgard planet ( sina uhakika kama ni planet[emoji16]) kama zilivyo earths( tangu tupo zama za multiverse).
- Thor anajaribu kuwashawishi timu ya Groot watembelee asgard na mr. Rocket kama kawaida anamuunga mkono Thor.
- Bila kutegemea wanapofika wanakuta hali ya asgard ipo kwenye machafuko kidogo, kisha Thor na timu yake wanaingilia kuipigania.
- Wakati wa mapambano ghafla anakutana na Jane Foster( thor) na kumfananisha na mpenzi wake wa mwanzo. Lakini si yule Jane Foster anayemjua bali ni Variant of thor kwenye hiyo planet na hawajuani.
- Baada ya machafuko kutulia kunakuwa na tafrija na thor( tunae mjua) anakaribishwa kujitambulisha na kujieleza ilikuwaje wakafika hapo.
- Pamoja na hayo, kwa kuwa hawamtambui kama ni prince wa asgard, king wa hiyo planet asgard (Zeus) anamdhalilisha Thor.
****"""
Super soldier can't move things with his or her ming anapigwa vileKumbuka wake ni supersoldiers. Wana nguvu zisizo natural.
Hamna kazi pale bora Becky kidogo angeweza kupambana shida na yy mpaka risasi na nguvu zake kama zimepunguzwa tofauti na alivyokuwa kwenye Cap america the winter soldierKumbuka wake ni supersoldiers. Wana nguvu zisizo natural.
Theory nzuri mkuu, ila;THOR: love and thunder
Nina mawazo kidogo niliyokuwa nayawaza na kujenga theory hii kichwani
**Baada ya kiona subtrailer week iliyopita nilikiwa nawaza vitu hivi.
- kuna uwezekano mkubwa ndugu yetu Thor(original) baada ya kupitia mengi sana hapo nyuma kabla ya Endgame kisha kuungana na Guardians. Bado hakuwa sawa, na mawazo yake bado hayakuwa tayari kupokea uhalisia wa kupoteza baadhi ya watu wake wa karibu tangu asgerd ilivyoharibiwa, mpaka uvamizi wa Thanos kule kwenye space ship iliyoongeza machungu zaidi kwa kupoteza watu wengi wakiwemo Loki na getkeeper wa asgard.
- Thor pamoja na Guardians wanatembelea planet mbalimbali mwisho wa siku wanagundua kuna multiple asgard planet ( sina uhakika kama ni planet😁) kama zilivyo earths( tangu tupo zama za multiverse).
- Thor anajaribu kuwashawishi timu ya Groot watembelee asgard na mr. Rocket kama kawaida anamuunga mkono Thor.
- Bila kutegemea wanapofika wanakuta hali ya asgard ipo kwenye machafuko kidogo, kisha Thor na timu yake wanaingilia kuipigania.
- Wakati wa mapambano ghafla anakutana na Jane Foster( thor) na kumfananisha na mpenzi wake wa mwanzo. Lakini si yule Jane Foster anayemjua bali ni Variant of thor kwenye hiyo planet na hawajuani.
- Baada ya machafuko kutulia kunakuwa na tafrija na thor( tunae mjua) anakaribishwa kujitambulisha na kujieleza ilikuwaje wakafika hapo.
- Pamoja na hayo, kwa kuwa hawamtambui kama ni prince wa asgard, king wa hiyo planet asgard (Zeus) anamdhalilisha Thor.
****"""
-Pia Zeus katika ufalme wake ni mungu wa radi(god of lightning), moja ya mambo mengi anayoweza kuyaamrisha. Sasa kutokea mtu mwingine tena mwenye nguvu kama zake inakuwa kama kumtishia himaya yake.
Theory yako iko pouwa kimtindo.
Hamna kazi pale bora Becky kidogo angeweza kupambana shida na yy mpaka risasi na nguvu zake kama zimepunguzwa tofauti na alivyokuwa kwenye Cap america the winter soldier
Me uhusika ule ndo nilioukubaliBecky/James nguvu hazijapunguzwa ila this time ni kama amekuwa binadamu hivi, kipindi kile cha Winter Soldier alikuwa ruthless maana alikuwa brainwashed, hana huruma na hana ties na mtu yeyote, kazi yake ni kuua tu no matter ni nani.
Ukiwa huna kumbumbuku una-behave tofaut, unakuwa kama mnyama fulani hivi.
Ndugu sijajutia kuangalia hizo two episodes daaah series tamu kidogo.Out of context
Kuna Series inaitwa Time traveler’s Wife iko interesting tunaowaamin HBO toka GOT, True blood n.k
assistant wa Thanos[emoji1] yule mjomba ana dharau sana na sura yake ya samakiSuper soldier can't move things with his or her ming anapigwa vile
Akikutaka na yule assistant wa thanos je?
Which naona walimpunguza nguvu.
Kuna yule adui wa captain marvel somebody the accuser,mchiz anabonda hatari
Wajikaze bhana
Huo ndio mwanzo wa kwenda past kuomba msaada
assistant wa Thanos[emoji1] yule mjomba ana dharau sana na sura yake ya samaki
assistant wa Thanos[emoji1] yule mjomba ana dharau sana na sura yake ya samaki
Be thankful coz your meaningless life is now contribute....Thanos: Siku ya kwanza naangalia Endgame alisema line moja hiyo hatari considering nilisoma udaku kuwa Captain atakufa basi nkapata wasiwasi kishenzi
Wakaongea ongea ikafika cap akasema...
Cap: Born out of blood
Thanos akajibu: They'll never know it...because you won't be alive to tell them( huku anaweka sawa mpanga wake)
nkasema this is it.. Captain atakufa
Ebony maw ana jeuri sijaona anakwambiaBe thankful coz your meaningless life is now contribute....
Tony: I'm sorry Earth is closed today you better pack up and get out of here.
Ebony 😅😅😅: Stonekeeper does this chattering animal speak for you????🤣🤣🤣🤣🤣
Nachekaga sana hapa.
View attachment 2250452