Marvel Cinematic Universe special thread

Bosi unamwajiri best actor afu umucgi hizo ni zarau pia itaisaidia Kwenye marketing mtu ukimwambia huyu jamaa alicheza Batman na best joker of all time tayari io ni selling point
bado bale anaonekana kwa mbali, kwan hawatomueka gorr kama wa comics?
 
Naona marvel wanaset up young avengers Kuna tetesi ant man quantumania ikawa ndo first appearance,
Nasubiri mcu take kwa blade sije wakafanya upuuzi was morbius movie about vampire ila Haina damu
 
Sony wamewapa nafasi tena ya appearance ya Spiderman kwenye marvel upcoming project Ila nao wanamtaka blade a appear kwenye movie inajayo ya morbius
 
Pole sana

Mi walivyomuondoa Yondu udonta walizingua sana

Sasa zamu yako [emoji2]

Na kwenye GOTG VOL 3 pia spoilers wanasema za ndani ndani kuna hati mmoja katika Gang naye anakufa
Nahisi ni Groot atakufa. Alijitoa mhanga mwanzo kuokoa wengine na atajitoa tena safari hii.
 
aah! blade zaman aisee naikumbuka trinity tu sijui ile, itabid nizirudie
Naona marvel wanaset up young avengers Kuna tetesi ant man quantumania ikawa ndo first appearance,
Nasubiri mcu take kwa blade sije wakafanya upuuzi was morbius movie about vampire ila Haina damu
 
Sony wamewapa nafasi tena ya appearance ya Spiderman kwenye marvel upcoming project Ila nao wanamtaka blade a appear kwenye movie inajayo ya morbius
Jared Leto kila project akiifanya mm nahis inakuwa Flop na bado watu wanasema ni good actor eti,
Mtu anitajie movie nzuri ya Leto usiseme Blade Runner sijawahi ikubali
 
Yuko vizuri mkuu mfano ile aliyoekti ya mauaji ile american psycho mbona nzuri sema ya kitambo kidogo

Na kwenye suicide squard 2016 alivyoigiza Kama joker amempatia sana

Na hizo movie kwa mauzo ziko vizuri
 
Afu kweli😁😁 ila mwamba anajituma sana. Sijui nyota ndio chanzo...?😂
 
Yuko vizuri mkuu mfano ile aliyoekti ya mauaji ile american psycho mbona nzuri sema ya kitambo kidogo

Na kwenye suicide squard 2016 alivyoigiza Kama joker amempatia sana

Na hizo movie kwa mauzo ziko vizuri
Performance anajitumaga sana anaenda extra Miles lakin wapi!... mda mwingi movie akihusika zinabuma

Hiyo Suicide squad critics ziliishambulia balaa same kwa The Morbius n.k you name it
 
Pole sana

Mi walivyomuondoa Yondu udonta walizingua sana

Sasa zamu yako [emoji2]

Na kwenye GOTG VOL 3 pia spoilers wanasema za ndani ndani kuna hati mmoja katika Gang naye anakufa

Halafu hao GOTG sijawafatilia kabisa zaidi ya kuwaona kwenye Avengers na nikawapenda walivyo team up na Thor,

As long as Rocket Raccon atabaki, nilimkubali sana kwenye Avengers Thor akamuita Rabbit maskini.
 
Naona marvel wanaset up young avengers Kuna tetesi ant man quantumania ikawa ndo first appearance,
Nasubiri mcu take kwa blade sije wakafanya upuuzi was morbius movie about vampire ila Haina damu
Usinikumbushe maumivu ya Morbius, Movie niliipamba ile, nikashawishi watu twende Cinemax,
Loooh! Niliishiwa pozi na hasira juu,

Ndio maana nilisita kwenda kuiona Doctor Strange nasubiri Thor tu na hajawahi kuniangusha.

Movies za Blade ni nzuri hadi leo hua naangalia, wajitahidi sana wasiharibu legacy.
 
Halafu hao GOTG sijawafatilia kabisa zaidi ya kuwaona kwenye Avengers na nikawapenda walivyo team up na Thor,

As long as Rocket Raccon atabaki, nilimkubali sana kwenye Avengers Thor akamuita Rabbit maskini.

[emoji28] “Rabbit is correct and clearly the smartest among......”

Bradley Cooper nailed that voice over na pale alimpomponda Captain Marvel anamwambia what! you will go get another hair cut [emoji23]
 
Today is my name day
Birthday Wishes With Photo (1).jpg
 
Haiusiani na uzi
Si muvi zote zilizo wekwa humu zinahusiana na uzi. Wengi waliomo humu ni wafuatiliaji wa muvi na wanavyanzo vingi kutuzidi hata wengine akina sisi. Si vibaya kudokoa majina ya muvi kali mpya zinazotoka. Na kupitia uzi huu ni.enufaika sana na muvi wanazo nitajia wadau humu hata kama hazihusiani.
 
Back
Top Bottom