The Seven ni kundi la superhero linalojumuisha Homelander, A-train, Meave, Translucent, Black Noir, Deep, nk. Kiongozi wao ni Homelander ambae yupo sawa na superman. Japo wanajifanya superhero ila wana mambo ya hovyo ya chini chini wanachojali wao ni kuingizia kampuni yao ya Vought pesa.
A train ana superspeed siku moja akampamia na kumvunjavunja vipande mdada ambae ni mpenzi wa hughie, hapo ndio saga linaanza Hughie anataka kulipa kisasi. Pia kuna bwana anaitwa Butcher hawapendi balaa hao masuperhero. Akakusanya kikundi cha wanaotaka kulipiza kisasi kwa hao superhero, wakajiita The Boys wao hawana superpower.
Mimi nachopenda kwenye hoi series ni uigizaji wa Anthony Starr (Homelander) waliowahi tazama series ya Banshee wanamuelewa. Huyu jamaa muda wote anatabasamu. Ila tabasamu lake limeficha chuki, uovu na roho mbaya haswa, anakuua anakutabasamia.[emoji1787]
Kubwa kuliko Season 3 Episode 1
Baada ya kutoka muvi ya Avangers Endgame fans walikua wanasema kwanini hawakufanya Ant-Man ajigeuze awe mdogo halafu aingie kwenye butthole ya Thanos kisha ajirudishe mkubwa na kumuua Thanos.
Waandaaji wa The Boys si wakachukua hiyo theory bwana, S3Ep1 kuna superhero anaitwa Termite anaweza kujigeuza kama Ant-Man ni gay alikua anafanya sex mpenzi wake akamwambia aingie kwenye tundu lake la Dudu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa akaingia ndani ya dudu akawa anaikuna kuna kwa ndani. Bahati mbaya akapiga chafya akarudi kua mkubwa akampasua pasua vipande mpenzi wake[emoji1787]
Hii scene inatisha na kuchekesha kweli
View attachment 2263810