Mad Max uliema hupendi kuangalia sries za MCU, unaona sasa madhara ya kutokuangalia hizi Series???😅😅
Ni sawa ukaangalie Infinity war bila kuangalia muvi zilizopita.
Anaway, wale watoto ni Billy na Tommy ambao kwenye Comics Billy anaitwa
Wiccan ana uwezo kama wa wanda na Tommy anautwa
Speed ana uwezo kama The Flash. Hao ni watoto halisi wa Wanda ila kwenye Series inaonyesha ni watoto aliowatengeneza kwa Illusion na hawakua halisi.
Vile walivyokua wanaanguka walikua wanasafiri kutoka multiverse moja kwenda nyingine. Hopefully unafaham concept ya multiverse. So wanda alikua anamta Chavez amuibie nguvu zake ili aende kwenye universe ambazo hao watoto wake bado wapo hai akawachukue. Angalia Series ya
WandaVision ndio utaelewa hii muvi
Aliota jicho la tatu kwakua alisoma kitabu cha DarkHold sasa ili uelewa hicho kitabu kazi na madhara yake inabidi ukatazame Series ya Agent of Shield
Mkuu.. ngoja nikitulia nitakufafanulia Concept ya multiverse 😅