Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #961
Niliwahi kulielezea hili kipindi cha nyuma, soma hapa unaweza pata mwanga kidogo kuhusu Clea.Muda sana sijafika pande hizi.
Inakuwaje wakuu??
Kama kuna mtu alishaangalia DR.STRANGE 2 yule dada wa kwenye post credit (Clea). Nahitaji maelezo yake zaidi.
View attachment 2268742
Da'Vinci , Jorge WIP, Kunguru wa Manzese and others
Mnakaribishwa
NB. Doctor Strange tayari ipo Torrent mnaweza kuipakua sasa with high Quality.
Niliangalia video hiyo ya Trailer la Multiverse of madness, kuna Sehemu wakati Christine Palmer anafunga ndoa anasema kwamba christine atakua ndio anaigiza character ya Clea, ambae ni mke wa Stephen strange kwenye comics...Mimi nakataa. Na nitatoa factors/theory zangu Kama ifuatavyo.
✓Kipindi Drew Goddard anatengeneza Series ya Daredevil alitaka kutumia character ya Night Nurse kutoka kwenye comics ambapo Huyu ni nesi/manesi anayehudumia Superhero waliopata majeraha kama vile Punisher,Luke Cage,Iron fist, Daredevil nk. Lakini Drew Goddard aligundua kwamba character hiyo inampango wa kutumiwa na MCU miaka ya baadae. (Ndio alikuja kutumiwa kwenye muvi ya Doctor strange akiitwa Christine Palmer)
Drew alibadirisha character ya night Nurse na kutumia jina la Claire Temple, waliotazama series za Daredevil, Defenders,Luke Cage walimuona.
So mpaka hapo tumejua kwamba christen Palmer mpenzi wa Stephen strange kwenye comics anafahamika kana night nurse....
Clea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.
#: Sasa sidhani kama itakua sahihi kama MCU wataruhusu Character ya Night Nurse na Clea ichezwe na mtu Mmoja, yaani watuaminishe kua night nurse ndio clea sidhani kama watakua wamefanya vyema hasa kwetu tunaofatilia comics, Marvel studios creative team wapo makini sana sidhani kama wataweza kuruhusu mkanganyiko huu.
Kiujumla Clea ni mke wa Stephen Strange nadhani itakua hivyo kwenye muvi pia. Clea ni shemeji yetu usimchukulie poa and she's so powerful