Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Si muvi zote zilizo wekwa humu zinahusiana na uzi. Wengi waliomo humu ni wafuatiliaji wa muvi na wanavyanzo vingi kutuzidi hata wengine akina sisi. Si vibaya kudokoa majina ya muvi kali mpya zinazotoka. Na kupitia uzi huu ni.enufaika sana na muvi wanazo nitajia wadau humu hata kama hazihusiani.

Ms Marvel episode 1 tayar, naona hamjaiongelea

Out of context movie kwa Jamaa etu [mention]Mr Q [/mention]

Kwenye picha hapo chini nakuongezea na

Jurassic World: Dominion

IMG_2639.jpg
 
Halafu hao GOTG sijawafatilia kabisa zaidi ya kuwaona kwenye Avengers na nikawapenda walivyo team up na Thor,

As long as Rocket Raccon atabaki, nilimkubali sana kwenye Avengers Thor akamuita Rabbit maskini.
tafuta hizo movie zipo mbili, hutojutia muda wako.
 
Rocket anapendezesha sana movie

Kuna scene ilinichekesha mantis alivyosema
The crabby puppy is so cute he makes me want to die! [emoji1787]
"
Rocket:There's one more thing we need to complete plan,That guy's eye[emoji23][emoji23]"

Quill;No we don't need that guy eye

Rocket:No, Seriously I need it[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Rocket anapendezesha sana GOTG
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama kwenye ile trailer mpya ya Thor love and thunder analalamika alidhani wapo holiday
 
Ms Marvel episode 1 niliiangalia Usiku nkasinzia for some reason

Nkaja kuimalizia kesho yake
 
Performance anajitumaga sana anaenda extra Miles lakin wapi!... mda mwingi movie akihusika zinabuma

Hiyo Suicide squad critics ziliishambulia balaa same kwa The Morbius n.k you name it
Oyaa we unasema movie ya moribus na Jared Leto wamezingua

Watu wako Bize huko ku sign petition irudiwe kuonyeshwa theatre

Kitu kina trend
 
MOvie za star wars hazina tofauti na za marvel unatakiwa uangalie zile za nyuma za mwaka 1980s sijui 70s hadi sasa upate chronological order nzuri

Na ktk movies ambazo ktk hii lifetime yangu natamani nizifatilie ila chronological order yake ni too complicated hazieleweki ni

Terminator
X-Men
Star wars

Za juu nishazielewa

Ila finally baada ya kuangalia intro ya season mpya ya star wars " Obi wan Kenobi" wametoa summary nzuri sana hata nikafahamu jambazi maarufu apart from thanos wa mcu kuna Huyu Darth Vader ametokea wapi since day one nilikuwa natamani nimfahamu ni moja ya famous figure wa star wars franchise

Nikimaliza obi wan Kenobi nitatafuta movie ya star wars ya KWANZA kabisa nimependa story yake na zilivyo nyingi [emoji1787]
 
Nijicheke sasa,
Siku ya kwanza naangalia Obi Wan Kenobi pale mwanzo nisidhani ni previous season, jicho likanitoka nikadhani nime download season ya 2 yaani walinichanganya ikabidi ni google kuona kuna seasons ngapi nikakuta ndio kwaaaaanza wanaanza,
Ikanibidi nitulize akili yangu ndio nikaelewa na tangu hapo nimeipenda sana hasa yule Third Sister na Leia.
 
Kama kuna mtu hajawahi kuitazama hii series basi kapitwa na mengi sana🤣🤣. Nimeanza kuitazama 2020 kidogo nizimie kwa arosto
IMG-20220615-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom