three phase
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 343
- 502
Marvel fanns niaje naomba kueleweshwa kwa walio elewa doctor stranger into multiverse yu dogo wa kike ninani na mbona wonder alikuwa anamtaka alikuwa anataka kumfny nn pia mwisho wa movie naona dctr anaongezeka jicho la 3
Subili ni itafute niangalieYule dogo Chavez ana uwezo wa kusafiri kutoka universe moja kwenda nyingine, yaani ana uwezo wa ku travel through Multiverse kwahiyo wanda akawa anataka ampleke universe nyingine akakutane na watoto wake
Kama uliangalia Wanda-vision utaelewa kuhusu watoto wake
Shukrani n doctor strng mwsh anaonekana kwny paji la uso jicho la tatu lina maanisha nnYule dogo Chavez ana uwezo wa kusafiri kutoka universe moja kwenda nyingine, yaani ana uwezo wa ku travel through Multiverse kwahiyo wanda akawa anataka ampleke universe nyingine akakutane na watoto wake
Kama uliangalia Wanda-vision utaelewa kuhusu watoto wake
Shukrani n doctor strng mwsh anaonekana kwny paji la uso jicho la tatu lina maanisha nn
First look at Christian Bale as Gorr The God Butcher in ‘THOR: LOVE AND THUNDER’. View attachment 2236576View attachment 2236575View attachment 2236577View attachment 2236578
Naona hawataki kutumia VFX maana hapo wametumia makeup onlybado bale anaonekana kwa mbali, kwan hawatomueka gorr kama wa comics?
Muda mwingine cg haziwezi kuficha sura ya mtu. We angalia hata kwa Oscar kwenye X-MEN: APOCALYPSEbado bale anaonekana kwa mbali, kwan hawatomueka gorr kama wa comics?
nooo!!sio kwamba CGI haiwez kuficha sura ya mtu ila cgi artist wenyew wanafanya vile ili kurelate na moccap artist mwenyew .nafikir ni kwa ajili ya heshima ya actor mwenyew..mfano ukimuangalia hulk 2002(ambayo ilichezwa na eric bana hawafanani kabisa even the incredible hulk by (edward norton)Muda mwingine cg haziwezi kuficha sura ya mtu. We angalia hata kwa Oscar kwenye X-MEN: APOCALYPSE
Kwa threats zinazokuja mbona sion defender hapo
Daaaah nilichelewa kuangalia moon Knight,daaah mtu anae ingiza personalities zaid ya moja huwa namuheshimu sana, imagine the guy sio brits eti.
Kuna hii scene anapiga jamaa alafu anakung'uta koti kama vile kamuweza adui daah very funny.
Sasa imagine kuna jake ambae yupo brutal kinoma na tumeona ametake over like two times or three balaa lake sio dogo.
Na tunajua kwenye season 2 tunajua demu wake atamuuliza tu maana pale mwisho alishuhudia kitu ambacho sisi hatujaoneshwa.
Glass ilinishinda kuielewa nikaiacha na sikuimaliza kuangalia😂😂Mtaalamu wa Multiple personality ni James McaVoy kama uliangalia Split na Glass unapata picha
sijaimaliza hadi leo, ila nngependa kuona character development ya Kon-shu huko mbele hahaha ananifurahisha anakwambia “i am the justice” [emoji28]
Hawajiwezi haoKwa threats zinazokuja mbona sion defender hapo
Yeah nilivyosikiaMkuu kwaiyo hawa ndo waigizaji wapya wa hii kampuni,
Theory nzuri hasa hapo kwenye grief Thor anaonekana alikuwa kwenye denial maana kapoteza vingi na hajaonekana aki let it out...THOR: love and thunder
Nina mawazo kidogo niliyokuwa nayawaza na kujenga theory hii kichwani
**Baada ya kiona subtrailer week iliyopita nilikiwa nawaza vitu hivi.
- kuna uwezekano mkubwa ndugu yetu Thor(original) baada ya kupitia mengi sana hapo nyuma kabla ya Endgame kisha kuungana na Guardians. Bado hakuwa sawa, na mawazo yake bado hayakuwa tayari kupokea uhalisia wa kupoteza baadhi ya watu wake wa karibu tangu asgerd ilivyoharibiwa, mpaka uvamizi wa Thanos kule kwenye space ship iliyoongeza machungu zaidi kwa kupoteza watu wengi wakiwemo Loki na getkeeper wa asgard.
- Thor pamoja na Guardians wanatembelea planet mbalimbali mwisho wa siku wanagundua kuna multiple asgard planet ( sina uhakika kama ni planet😁) kama zilivyo earths( tangu tupo zama za multiverse).
- Thor anajaribu kuwashawishi timu ya Groot watembelee asgard na mr. Rocket kama kawaida anamuunga mkono Thor.
- Bila kutegemea wanapofika wanakuta hali ya asgard ipo kwenye machafuko kidogo, kisha Thor na timu yake wanaingilia kuipigania.
- Wakati wa mapambano ghafla anakutana na Jane Foster( thor) na kumfananisha na mpenzi wake wa mwanzo. Lakini si yule Jane Foster anayemjua bali ni Variant of thor kwenye hiyo planet na hawajuani.
- Baada ya machafuko kutulia kunakuwa na tafrija na thor( tunae mjua) anakaribishwa kujitambulisha na kujieleza ilikuwaje wakafika hapo.
- Pamoja na hayo, kwa kuwa hawamtambui kama ni prince wa asgard, king wa hiyo planet asgard (Zeus) anamdhalilisha Thor.
****"""