THOR: love and thunder
Nina mawazo kidogo niliyokuwa nayawaza na kujenga theory hii kichwani
**Baada ya kiona subtrailer week iliyopita nilikiwa nawaza vitu hivi.
- kuna uwezekano mkubwa ndugu yetu Thor(original) baada ya kupitia mengi sana hapo nyuma kabla ya Endgame kisha kuungana na Guardians. Bado hakuwa sawa, na mawazo yake bado hayakuwa tayari kupokea uhalisia wa kupoteza baadhi ya watu wake wa karibu tangu asgerd ilivyoharibiwa, mpaka uvamizi wa Thanos kule kwenye space ship iliyoongeza machungu zaidi kwa kupoteza watu wengi wakiwemo Loki na getkeeper wa asgard.
- Thor pamoja na Guardians wanatembelea planet mbalimbali mwisho wa siku wanagundua kuna multiple asgard planet ( sina uhakika kama ni planet😁) kama zilivyo earths( tangu tupo zama za multiverse).
- Thor anajaribu kuwashawishi timu ya Groot watembelee asgard na mr. Rocket kama kawaida anamuunga mkono Thor.
- Bila kutegemea wanapofika wanakuta hali ya asgard ipo kwenye machafuko kidogo, kisha Thor na timu yake wanaingilia kuipigania.
- Wakati wa mapambano ghafla anakutana na Jane Foster( thor) na kumfananisha na mpenzi wake wa mwanzo. Lakini si yule Jane Foster anayemjua bali ni Variant of thor kwenye hiyo planet na hawajuani.
- Baada ya machafuko kutulia kunakuwa na tafrija na thor( tunae mjua) anakaribishwa kujitambulisha na kujieleza ilikuwaje wakafika hapo.
- Pamoja na hayo, kwa kuwa hawamtambui kama ni prince wa asgard, king wa hiyo planet asgard (Zeus) anamdhalilisha Thor.
****"""