Marvel Cinematic Universe special thread

Huyo noma nimeona hiyo mzee.

Nimeangalia interview moja eti unajua ila movie hamna hata sehemu moja ambayo wameshoot wakiwa British?
Can you believe that? Hahahaa
 
Lakini ile mirnior (nyundo) sijui inaonesha ila crucks, kwa kuona kama ime ungwa ungwa unapata hisia ni ile ambayo dada yake Thor aliivunja kwenye Ragnarok
 
Kumbuka wake ni supersoldiers. Wana nguvu zisizo natural.
Super soldier can't move things with his or her ming anapigwa vile
Akikutaka na yule assistant wa thanos je?
Which naona walimpunguza nguvu.

Kuna yule adui wa captain marvel somebody the accuser,mchiz anabonda hatari
Wajikaze bhana
Huo ndio mwanzo wa kwenda past kuomba msaada
 
Kumbuka wake ni supersoldiers. Wana nguvu zisizo natural.
Hamna kazi pale bora Becky kidogo angeweza kupambana shida na yy mpaka risasi na nguvu zake kama zimepunguzwa tofauti na alivyokuwa kwenye Cap america the winter soldier
 
Theory nzuri mkuu, ila;
-Zeus kuwa king wa asgard inaleta utata kidogo, kwa sababu yeye(Zeus) ni King na god of gods wa Olympus.
Asgard ni nyumbani kwa mina odin na thor ambao wao wanatokea kwenye hadithi za ki-ving/norsemen, wakati Zeus na wenzake wengine wanatokea kwenye hadithi za kiromani/greek/latin.
Sijui watawekaje kwamba hawa watu watakutana sehemu moja.
-Pia Zeus katika ufalme wake ni mungu wa radi(god of lightning), moja ya mambo mengi anayoweza kuyaamrisha. Sasa kutokea mtu mwingine tena mwenye nguvu kama zake inakuwa kama kumtishia himaya yake.

Theory yako iko pouwa kimtindo.
 
-Pia Zeus katika ufalme wake ni mungu wa radi(god of lightning), moja ya mambo mengi anayoweza kuyaamrisha. Sasa kutokea mtu mwingine tena mwenye nguvu kama zake inakuwa kama kumtishia himaya yake.

Theory yako iko pouwa kimtindo.

greek mythology zeus ni mungu wa anga sio wa radi ila ana silaha yale ya Lightning bolt ambayo ndio iko na mfumo wa radi

Baada ya kumuua baba yao zeusi aliwagawanya ndg zake kumiliki pande nne za dunia yeye akabaki Mungu wa angani, underworld akampa kaka yake Hades
 
Hamna kazi pale bora Becky kidogo angeweza kupambana shida na yy mpaka risasi na nguvu zake kama zimepunguzwa tofauti na alivyokuwa kwenye Cap america the winter soldier

Becky/James nguvu hazijapunguzwa ila this time ni kama amekuwa binadamu hivi, kipindi kile cha Winter Soldier alikuwa ruthless maana alikuwa brainwashed, hana huruma na hana ties na mtu yeyote, kazi yake ni kuua tu no matter ni nani.

Ukiwa huna kumbumbuku una-behave tofaut, unakuwa kama mnyama fulani hivi.
 
Me uhusika ule ndo nilioukubali
 
Out of context

Kuna Series inaitwa Time traveler’s Wife iko interesting tunaowaamin HBO toka GOT, True blood n.k
Ndugu sijajutia kuangalia hizo two episodes daaah series tamu kidogo.
Inakubidi uweze kushikanisha haraka lakini.

HBO wametisha sana
 
assistant wa Thanos[emoji1] yule mjomba ana dharau sana na sura yake ya samaki
 
assistant wa Thanos[emoji1] yule mjomba ana dharau sana na sura yake ya samaki

Hahahah Ebony Maw halafu kafanana na Squidward kama iron man alivyosema

Aisee jamaa nilimkubali kwanza ana kashfa huyo alimpa compliment ya kumkashifu strange...akamwambia

“Your powers are quaint, You must be popular with children”

[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka balaa
 
Thanos: Siku ya kwanza naangalia Endgame alisema line moja hiyo hatari considering nilisoma udaku kuwa Captain atakufa basi nkapata wasiwasi kishenzi

Wakaongea ongea ikafika cap akasema...
Cap: Born out of blood

Thanos akajibu: They'll never know it...because you won't be alive to tell them( huku anaweka sawa mpanga wake)

nkasema this is it.. Captain atakufa
 
jamani The man from toronto ikitoka mnistue.
 
Be thankful coz your meaningless life is now contribute....

Tony: I'm sorry Earth is closed today you better pack up and get out of here.
Ebony 😅😅😅: Stonekeeper does this chattering animal speak for you????🤣🤣🤣🤣🤣
Nachekaga sana hapa.
 
Ebony maw ana jeuri sijaona anakwambia

“He exhausts me, bring me the Stone...baada ya kuongea kidg dah!🤣🙌🏽

itabid nirudie kumuona sema nilifurahi sana aliposema strange must be popular with the children 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…