Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Superheroes wa hii series ya the boys hawajali kuhusu maisha ya watu wala kuokoa watu ila wanachojali ni pesa na umaarufu wa kupendwa na kutukuzwa. ni bullies wenye superpowers ukiondoa annie starlight.

Pale mwisho wa episode ya 4 season 1 homelander alisema kama NORAD (Shirika la ulinzi wa anga marekani) wangewaatarifu supes mapema kabla ya kurusha ndege za jeshi basi wangewaokoa na kutoruhusu tukio lingine kama lile basi waruhusu supes jeshini.
Maana yake homelander aliiacha ile ndege ianguke makusudi ili wapate mkataba wa jeshi na kuruhusu supes jeshini kitu ambacho kitapelekea wao kupokea mabillions ya funds za kutosha, hivyo mpango mzima ni sababu ya pesa tu.

Na hii kampuni ya vought imetengeneza hawa superheroes sio kwa ajili ya kusaidia watu bali kupata pesa na kuingiza faida ndio maana wana movies, midoli na comics it's just business. japo yenyewe ni pharmaceutical company.

Na huyu mshenzi homelander ni psychopath, man child na emotional unstable kutokana na malezi aliyopitia na ndio maana haoni tabu kuua, kwake ni mchezo tu.
Vought ni MCU except the evil parts 😅
 
Jorge WIP thanks veey much pal for recommending Ricky and Morty, niliimaliza kitambo and I enjoyed it to the Extent.
Now nimeanza kutazama anime ya Attacks on Titan, ni series nzuri sana nimeipenda. Paula Paul I think you should watch this japo ni ndefu sana kila season ina Episodes 25 xS5.
View attachment 2276933
Apo uto jutia bonge la anime ss Da'Vinci apo tafuta na the invisible

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia A MAN FROM TORONTO.
i am going to this hivi is it me au kila alikuwepo kwenye now you see at least wale main character ni wanajua kuact vizuri? yaaan tukianza na our man bruce bunner na hao wengine wote
The talking fast guy,nimekuja gundua hili leo.

Anyway kama fan wa MCU nimeona possibility ya movie nyingi sana pale mwishoni naona madam yule handler wa MFT alikua anachagua ma man from miji kibao kwaiyo kwa sisi weye ubongo wa mcu tunaona kabisa kama wakiamua tunaweza pata stori nyingi sana tofauti na zinaweza zikamzunguka teddy(kevin hart)
Man from Miami safi sana aliwasumbua hao jamaa wawili. Mwishoni jamaa anapiga simu kuwa amemmisi debora wake.. Na yuko nje ya nyumba muvi nzuri. Inaonekana kunaweza kuwa na mwendelezo wale
 
Homelander ni Superman except with a bad childhood.

Oi! (in butcher's voice) Moon Knight na Loki zilikuwa the best but I gotta admit the boys ni moto wa kuotea mbali marvel haikanyagi kwenye upande wa tv shows.
Halafu supes wengi wa “The boys” power zao ni kama DC’s Justice League

Homelander- Superman *DC
Deep - Aquaman *DC
Black Noir- Death stroke *DC
Meave- Wonder woman *Dc
A-train - The flash *DC
Starlight- Electro maybe sina uhakika😅 * Marvel
Soldier boy- captain America *Marvel
Stromfront- Storm *Marvel

Ukiona sehemu ya kubadilishana rekebisha
 
Ulikua sahihi sana, Character ya Clea imechezwa na my crush Charlize Theron.
Did someone said Charlize Theron??

[Tabia ya kupenda wanawake nisioweza kuwapata nishaacha but I adore her so much. Kama ninaowapenda humu JF siwezi kuwapata itakua huyo yupo USA
FB_IMG_16565335764118017.jpg
FB_IMG_16565662247209532.jpg
 
Halafu supes wengi wa “The boys” power zao ni kama DC’s Justice League

Homelander- Superman *DC
Deep - Aquaman *DC
Black Noir- Death stroke *DC
Meave- Wonder woman *Dc
A-train - The flash *DC
Starlight- Electro maybe sina uhakika😅 * Marvel
Soldier boy- captain America *Marvel
Stromfront- Storm *Marvel

Ukiona sehemu ya kubadilishana rekebisha
Ni ngumu kuja na new idea ya superheroes na superpowers zinazomake sense tayari kila mtu anazo hivyo wanarudia zilezile.

Na most important ni kwamba The boys originally ilikuwa inatengenezwa na DC Comics under its imprint WildStorm na baadae kuwa moved to Dynamite Entertainment. So that makes a lot of sense, means kabla ya hapo the boys walikuwa connected na DC Universe.

Superman angemuweka Homelander in the ICU.
 
Natamani nijue pia character ya Ms marvel kwenye comics Leo nimeangalia episode ya 4 Kamala amerudi Pakistan kwa bibi yake ,Sasa wale villains wanataka Nini hasa kutokea kwenye bracelet ya Kamala?
Nimeishia episode ya pili na siwezi endelea tena...[emoji119]
 
Kwanini isitoe ugonjwa wa kansa?
It doesn't make sense to me
Mkuu unajua madhara ya Chemotherapy kwenye mwili?? Watu hukonda na kunyonyoka nywele kabisa ajili ya sumu/mionzi mikali inayosababishwa na Chemo. So pindi jane akitumia Mjolnir inaondoa kila sumu iliyopo mwilini ikiwemo na hiyo sumu ya Chemo. So kwakua chemo inakua haifanyi kazi mwilini basi Cancer inakua inazidi kua Chronic/inapanda stage
 
Back
Top Bottom