bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Ni British accent?
Maana ndio anaonekana tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni British accent?
Kendall Jenner naikumbuka hiyo ishu ilikua mwaka 2017 kama sikosei.... Ni kweli lile Tangazo la A Train wamechukua idea ya ile case ila wao wamemuweka Blackile Energy drink anayotangaza A-train (turbo rush) ingekuwa inauzwa ningenunua
Halafu mnakumbuka ile kesi ya pepsi kwenye tangazo lao kuwa controversial
Hivi mme notice tangazo la A-train linafanana na lile la pepsi ambalo walipata kesi ya kuwa racists... tangazo lilifanywa na Jenner(mmoja wao siwajuagi kuwatofautisha)... ambae mpaka aliomba msamaha kilikuwa kizaazaa
Yes ni huyo, unaikumbuka vizur sana hivyo hivyoKendall Jenner naikumbuka hiyo ishu ilikua mwaka 2017 kama sikosei.... Ni kweli lile Tangazo la A Train wamechukua idea ya ile case ila wao wamemuweka Black
Nakuelewa uzuri kabisa,Yes ni huyo, unaikumbuka vizur sana hivyo hivyo
aisee nashukuru huu uzi nikiangalia Movie huwa na pick some details ambazo watu wengi hawazielewi inakuwa taabu kidg maana hauna mtu wa kuongea nae... ila ahsante kwa huu uzi nimewapata wenzangu
Nilikuwa na jamaa yangu ambae alikuwa anaona kama mm tukawa tuna review movies eye to eye...sasa hivi hatupatani tuko maadui... maisha yanakupa suprise sometimes[emoji28]
I just wanna find a woman ambae yuko interesting kama Dream Queen
Hahah childhood yako inaonekana uliitendea haki...Nakuelewa uzuri kabisa,
Nimekulia kwenye Familia ya Wapenda Movies, nakumbuka enzi hizo ndugu zangu wanakesha kuangalia Movies, mie naogopa kwenda kulala peke yangu basi inabidi nikae hapo natumbua macho hadi nalala, kaka zangu walikua wanakwazika kunibeba kunipeleka chumbani sababu ikitokea Mama kanikuta nimelala pale Msala kwao, na kuangalia Movies usiku ni kwa huruma yangu niking'ang'ania inabidi wote waachwe waangalie, last born raha [emoji1787]
Napenda kuangalia Movie kwa umakini sana kama nimechoka bora niache niangalie siku nyingine lakini sio kupitwa na mambo mbali mbali ikiwemo makosa, sasa Mtu anaangalia Movie huku ana chat saa ngapi ata catch vitu muhimu.
Asante Dear. Hio unayoangalia ni English dub version? Ama unatumia sub?Jorge WIP thanks veey much pal for recommending Ricky and Morty, niliimaliza kitambo and I enjoyed it to the Extent.
Now nimeanza kutazama anime ya Attacks on Titan, ni series nzuri sana nimeipenda. Paula Paul I think you should watch this japo ni ndefu sana kila season ina Episodes 25 xS5.
View attachment 2276933
Kwenye comics Butcher ni mtu wa British ndio maana anaongea hiyo rafudhi. Lakini mwigizaji Karl Urban anstokea New Zealand. Lsfudhi hiyo ni ya kuigizia tu,kwenye thor na Lord of the rings hakua anaongea hivoView attachment 2276058
Hiyo ndio maana ya hii series kwamba wanajifanya superhero kumbe ni wauaji they only care about money.Naomba kuuliza hivi hawa super heroes mbona wanauwa watu badala ya kuwapeleka police
Kwenye hii series ya the Boys
Nipo season 2 episode 6Hiyo ndio maana ya hii series kwamba wanajifanya superhero kumbe ni wauaji they only care about money.
Upo episode ipi??
Sielewi dhumuni lá homelander anauza tu watu ,na huyo kundi la butcher wataweza kushindana na hawa majambazi superhero kuna wale watu kwenye ndege homelander alifanyamakusudi kabisa wakafa woteUnajitahidi asee. Unaielewa au unaona nyota nyota. Uulize usipoelewa Dina
so sorry broBasi preference tu tumetofautiana. Napenda tu vitu natural. Recommend me anime uzipendazo Setsuko
Don't worry for forgetting about my stupid cake, even my parents they didn't remember.
Natamani nijue pia character ya Ms marvel kwenye comics Leo nimeangalia episode ya 4 Kamala amerudi Pakistan kwa bibi yake ,Sasa wale villains wanataka Nini hasa kutokea kwenye bracelet ya Kamala?
😂 Nimeangalia kibishi tu maana zile episodes za mwanzo ni kama unangalia zile drama za Watoto za Nickelodeon channelDuh hii series mm imegoma kwangu
Ulikua sahihi sana, Character ya Clea imechezwa na my crush Charlize Theron.Thanks for recommending me to Canadian lad, nimenfuatilia sana video zake niseme tu he's the best. Natumaini kama nami ningepata tools za kutosha kama yeye ningeweza kufanya kitu. Ila kuangalia muvi kwa 0.25speed yataka moyo hongera kwake...Kwa bongo sidhani kama kunawasomaji wa comics wengi. But I'm really impressed and motivated to do such kind of thing [emoji7]
Niliangalia video hiyo ya Trailer la Multiverse of madness, kuna Sehemu wakati Christine Palmer anafunga ndoa anasema kwamba christine atakua ndio anaigiza character ya Clea, ambae ni mke wa Stephen strange kwenye comics...Mimi nakataa. Na nitatoa factors/theory zangu Kama ifuatavyo.
✓Kipindi Drew Goddard anatengeneza Series ya Daredevil alitaka kutumia character ya Night Nurse kutoka kwenye comics ambapo Huyu ni nesi/manesi anayehudumia Superhero waliopata majeraha kama vile Punisher,Luke Cage,Iron fist, Daredevil nk. Lakini Drew Goddard aligundua kwamba character hiyo inampango wa kutumiwa na MCU miaka ya baadae. (Ndio alikuja kutumiwa kwenye muvi ya Doctor strange akiitwa Christine Palmer)
Drew alibadirisha character ya night Nurse na kutumia jina la Claire Temple, waliotazama series za Daredevil, Defenders,Luke Cage walimuona.
So mpaka hapo tumejua kwamba christen Palmer mpenzi wa Stephen strange kwenye comics anafahamika kana night nurse....
Clea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.
#1: Sasa sidhani kama itakua sahihi kama MCU wataruhusu Character ya Night Nurse na Clea ichezwe na mtu Mmoja, yaani watuaminishe kua night nurse ndio clea sidhani kama watakua wamefanya vyema hasa kwetu tunaofatilia comics, Marvel studios creative team wapo makini sana sidhani kama wataweza kuruhusu mkanganyiko huu.
#2: Lakini pia sioni umuhimu wa kumleta clea kwa sasa maana tayari washamleta American Chavez powerful kama clea au zaidi yake... kwenye muvi strange atakua mentor wa American Chavez hivyo tunategemea Strange kurithiwa nae maana naona MCU wapo serious kwa swala la gender swapping kwa Superheroes.....Kama asingekuwepo american Chavez basi ningekubali theory ya kumfanya Christine Palmer kua clea.
Ila haya ni mawazo yangu tu.. naweza kua sahihi au sipo sahihi, kikubwa tusubiri may 6 tutapata majibu.
Superheroes wa hii series ya the boys hawajali kuhusu maisha ya watu wala kuokoa watu ila wanachojali ni pesa na umaarufu wa kupendwa na kutukuzwa. ni bullies wenye superpowers ukiondoa annie starlight.Sielewi dhumuni lá homelander anauza tu watu ,na huyo kundi la butcher wataweza kushindana na hawa majambazi superhero kuna wale watu kwenye ndege homelander alifanyamakusudi kabisa wakafa wote
Nimekupataaa asanteeSuperheroes wa hii series ya the boys hawajali kuhusu maisha ya watu wala kuokoa watu ila wanachojali ni pesa na umaarufu wa kupendwa na kutukuzwa. ni bullies wenye superpowers ukiondoa annie starlight.
Pale mwisho wa episode ya 4 season 1 homelander alisema kama NORAD (Shirika la ulinzi wa anga marekani) wangewaatarifu supes mapema kabla ya kurusha ndege za jeshi basi wangewaokoa na kutoruhusu tukio lingine kama lile basi waruhusu supes jeshini.
Maana yake homelander aliiacha ile ndege ianguke makusudi ili wapate mkataba wa jeshi na kuruhusu supes jeshini kitu ambacho kitapelekea wao kupokea mabillions ya funds za kutosha, hivyo mpango mzima ni sababu ya pesa tu.
Na hii kampuni ya vought imetengeneza hawa superheroes sio kwa ajili ya kusaidia watu bali kupata pesa na kuingiza faida ndio maana wana movies, midoli na comics it's just business. japo yenyewe ni pharmaceutical company.
Na huyu mshenzi homelander ni psychopath, man child na emotional unstable kutokana na malezi aliyopitia na ndio maana haoni tabu kuua, kwake ni mchezo tu.