Umeona ehπ hivyo hivyoπ Nimeangalia kibishi tu maana zile episodes za mwanzo ni kama unangalia zile drama za Watoto za Nickelodeon channel
Ile scene alivyotokea nikashtuka, nadhani kila mwanaume kashtuka damn sheβs π₯Ulikua sahihi sana, Character ya Clea imechezwa na my crush Charlize Theron.
Vought ni MCU except the evil parts πSuperheroes wa hii series ya the boys hawajali kuhusu maisha ya watu wala kuokoa watu ila wanachojali ni pesa na umaarufu wa kupendwa na kutukuzwa. ni bullies wenye superpowers ukiondoa annie starlight.
Pale mwisho wa episode ya 4 season 1 homelander alisema kama NORAD (Shirika la ulinzi wa anga marekani) wangewaatarifu supes mapema kabla ya kurusha ndege za jeshi basi wangewaokoa na kutoruhusu tukio lingine kama lile basi waruhusu supes jeshini.
Maana yake homelander aliiacha ile ndege ianguke makusudi ili wapate mkataba wa jeshi na kuruhusu supes jeshini kitu ambacho kitapelekea wao kupokea mabillions ya funds za kutosha, hivyo mpango mzima ni sababu ya pesa tu.
Na hii kampuni ya vought imetengeneza hawa superheroes sio kwa ajili ya kusaidia watu bali kupata pesa na kuingiza faida ndio maana wana movies, midoli na comics it's just business. japo yenyewe ni pharmaceutical company.
Na huyu mshenzi homelander ni psychopath, man child na emotional unstable kutokana na malezi aliyopitia na ndio maana haoni tabu kuua, kwake ni mchezo tu.
Apo uto jutia bonge la anime ss Da'Vinci apo tafuta na the invisibleJorge WIP thanks veey much pal for recommending Ricky and Morty, niliimaliza kitambo and I enjoyed it to the Extent.
Now nimeanza kutazama anime ya Attacks on Titan, ni series nzuri sana nimeipenda. Paula Paul I think you should watch this japo ni ndefu sana kila season ina Episodes 25 xS5.
View attachment 2276933
You're welcome again.Nimekupataaa asantee
Homelander ni Superman except with a bad childhood.Vought ni MCU except the evil parts π
Man from Miami safi sana aliwasumbua hao jamaa wawili. Mwishoni jamaa anapiga simu kuwa amemmisi debora wake.. Na yuko nje ya nyumba muvi nzuri. Inaonekana kunaweza kuwa na mwendelezo waleNimeangalia A MAN FROM TORONTO.
i am going to this hivi is it me au kila alikuwepo kwenye now you see at least wale main character ni wanajua kuact vizuri? yaaan tukianza na our man bruce bunner na hao wengine wote
The talking fast guy,nimekuja gundua hili leo.
Anyway kama fan wa MCU nimeona possibility ya movie nyingi sana pale mwishoni naona madam yule handler wa MFT alikua anachagua ma man from miji kibao kwaiyo kwa sisi weye ubongo wa mcu tunaona kabisa kama wakiamua tunaweza pata stori nyingi sana tofauti na zinaweza zikamzunguka teddy(kevin hart)
Halafu supes wengi wa βThe boysβ power zao ni kama DCβs Justice LeagueHomelander ni Superman except with a bad childhood.
Oi! (in butcher's voice) Moon Knight na Loki zilikuwa the best but I gotta admit the boys ni moto wa kuotea mbali marvel haikanyagi kwenye upande wa tv shows.
Did someone said Charlize Theron??Ulikua sahihi sana, Character ya Clea imechezwa na my crush Charlize Theron.
Ni ngumu kuja na new idea ya superheroes na superpowers zinazomake sense tayari kila mtu anazo hivyo wanarudia zilezile.Halafu supes wengi wa βThe boysβ power zao ni kama DCβs Justice League
Homelander- Superman *DC
Deep - Aquaman *DC
Black Noir- Death stroke *DC
Meave- Wonder woman *Dc
A-train - The flash *DC
Starlight- Electro maybe sina uhakikaπ * Marvel
Soldier boy- captain America *Marvel
Stromfront- Storm *Marvel
Ukiona sehemu ya kubadilishana rekebisha
Nimeishia episode ya pili na siwezi endelea tena...[emoji119]Natamani nijue pia character ya Ms marvel kwenye comics Leo nimeangalia episode ya 4 Kamala amerudi Pakistan kwa bibi yake ,Sasa wale villains wanataka Nini hasa kutokea kwenye bracelet ya Kamala?
This is what makes you special wa kunyumbaUnajitahidi asee. Unaielewa au unaona nyota nyota. Uulize usipoelewa Dina
This is what makes you special wa kunyumbaUnajitahidi asee. Unaielewa au unaona nyota nyota. Uulize usipoelewa Dina
Mkuu unajua madhara ya Chemotherapy kwenye mwili?? Watu hukonda na kunyonyoka nywele kabisa ajili ya sumu/mionzi mikali inayosababishwa na Chemo. So pindi jane akitumia Mjolnir inaondoa kila sumu iliyopo mwilini ikiwemo na hiyo sumu ya Chemo. So kwakua chemo inakua haifanyi kazi mwilini basi Cancer inakua inazidi kua Chronic/inapanda stageKwanini isitoe ugonjwa wa kansa?
It doesn't make sense to me
Kwa wote ambao hamjaelewa Series ya Ms.Marvel nawaandalia article ili muielewe hii Series na character ya Kamala Khan.
Nipeni muda kidogo w
π,Hii Ina utoto mwingi sema episode 1&2 ni character build up zaidi.Nimeishia episode ya pili na siwezi endelea tena...[emoji119]
Nimeishia episode ya pili na siwezi endelea tena...[emoji119]