Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

IMG_2906.jpg

[emoji28]
 
Mkuu, hades yuko pouwa sana, sema hizi movies na katuni zinampata sifa mbaya.

Jamaa hana bahati kuna dem alikuwa anampenda alivyokufa yule dem kamkomalia kumpa kila kitu kule underworld manzi akabaki kumkataa tu
 
Ila greek gods walikuwa wanapenda pale kati aisee
Sio poa [emoji1787][emoji1787] ZEUS Kabaka sana HUMANS licha ya kuwa na mke ndio maana demi God walikuwa wengi

Ata peseidon nae ..Medusa hapo awali alikuwa mrembo akamchomolea Hades akaamua amfanyie vile kumkomoa
 
Sio poa [emoji1787][emoji1787] ZEUS Kabaka sana HUMANS licha ya kuwa na mke ndio maana demi God walikuwa wengi

Ata peseidon nae ..Medusa hapo awali alikuwa mrembo akamchomolea Hades akaamua amfanyie vile kumkomoa
Zeus mke wake ni Pisi kali, jamaa anakatamaa flani hivi.

medusa bado mzuri wa sura, na ndio hiyo inawachanganya wana, ukijiroga kuicheki sura, unakutana na nywele-nyoka zake. Ni adhabu, "ulinikataa, basi hakuna atakaye angalia uzuri wa sura yako na kuishi, akageuka jiwe."
 
Sio poa [emoji1787][emoji1787] ZEUS Kabaka sana HUMANS licha ya kuwa na mke ndio maana demi God walikuwa wengi

Ata peseidon nae ..Medusa hapo awali alikuwa mrembo akamchomolea Hades akaamua amfanyie vile kumkomoa
Medusa hakuwa na hatia kabisa hata ile laana alionewa alikuwa bikra demu wa watu
 
Watu wengi hawajaipenda series ya Ms.Marvel Kwamba imekaa kitoto hasa kwakua zimetoka wakati mmoja na Series ya The Boys, ukilinganisha na The boys utaaona ni ya hovyo kweli maana ipo genre ya Teen na PG 13. Binafsi mimi nimeipenda story yake kwakua hii story yake inaunganisha muvi nyingi zijazo. Eleweni kwamba kama mtu hatatazama series hii basi hataweza kuelewa Captain Marvel 2, Shang Chi 2 na series ya Secret Invasion.... Nitaelezea kadri nilivyoelewa hii series na theory yangu juu ya Muvi zijazo.
View attachment 2279241

Let's roll....
Inhumans ni specie ya Superhuman ambao makazi yao ni Mwezini/Attilan, mtu akifikisha miaka fulani hupitishwa kwenye Process fulani inaitwa Terrigenesis ambapo kijana anawekewa kitu kinaitwa Terrigen Mist .Lakini kuna Inhumans wengine wamepata nguvu bila kuwekewa hizo Terigen Mist... Hicho ndio kinatoa nguvu zao. Mfalme wa Inhumans anaitwa Blackngar Boltagon (Black Bolt) ambae sauti yake inaweza kuharibu kila kitu. Hopefully mlimuona kwenye Multiverse of madness, Ilinibidi niangalie Season ya Inhumans maana nilikua sijaitazama tofauti na Agents of shield.

Captain marvel ni kundi linaloundwa na superhero kadhaa wengi wakiwa wa kiume (kama sijasahau ) members wake ni Mar-Vell, Monica Rambeau, Genis-Vell, Phyla-Vell, Khn'nr, Noh-Varr na
Carol Danvers
. Katika kundi hili ni Monica na Carol ndio wenye asili ya duniani/Human Race waliobaki hapo Kree race. Sasa hawa superhero wengi wamepata nguvu kwa kutumia Technology za Kree au Genetic modification kutoka hukohuko Kree.


Ms Marvel...
Kama tulivyoona kwamba kundi la Captain marvel liliundwa zaidi na wanaume, bali pia kundi hili la Ms marvel ni kundi la superhero wa kike ambao walipata nguvu kupitia Tech's za Kree. Kundi hili linaundwa na Carol Danvers,Kamala Khan, Sharon Ventura na Karla Sofen.

Kamala Khan ni race ya Inhuman ambapo nguvu zake ni kurefusha baadhi ya viungo vyake kama shingo,miguu,mikono nk, anaweza kuukuza mwili wake na kuufanya uwe mdogo kama ant man au anaweza kujikondesha kama karatasi, anaweza kujibadirisha kua mtu mwingine kama Skrulls, anaweza kubadirisha umbo lake na kutengeneza umbo lolote kama vile Venom

Sasa...
Kwenye Series imeonyeshwa amevaa bracelet mkononi toka kwa bibi yake ambae anaiita Bangle ambapo inamuwezesha kuwa na uwezo huo nilioutaja hapo juu. Kamala asili yake kwenye Comics ni Inhumans ila kwenye Series hawajaonyesha kama ni inhumans...Ila kwenye Episode 2 wakati Kamala anafanya majaribu ya nguvu zake kwa kutumia ile bangel rafiki yake Bruno alimwambia kwamba inaonyesha kua nguvu zake hazitoki kwenye Bangle bali inatoka ndani ya mwili wake so hiyo inatutaarifu kua Kamala ana nguvu zake tayari ila hazitoki kwenye bangle kama nilivyosema Kamala ni Inhuman.

Wakuu natumaini mnajua kua Kamala Khan atakuwepo kwenye muvi ya Captain Marvel 2, hivi mlishswahi kujiuliza kwanini Caro Danvers alikua kwenye Post Credit ya Shang Chi wakichunguza zile rings.?? Hapo ndio kuna connection haswa... Haikutokea bahati mbaya Carol kuwepo pale .

Kwenye flashback Episode 3 miaka ya 1940s ilionyesha watu wapo kweye pango wanatafuta hiyo bangle wakaikuta kwenye mtu mwenye mkono wa Blue ambae hatukuona sura yake...Na kubwa zaidi wale watu walikua wamesimama kwenye alama/nembo kama za Bendera ya Ten Rings. Nadhani mnaifahamu.
View attachment 2279240
View attachment 2279242

Sasa inafahamika kwamba kwenye Marvel Universe viumbe wenye rangi ya blue ni Kree, so inawezekana mkono wa mtu huyo ni Kree.

Katika kundi la Captains Marvel kuna mtu anaitwa Mar-Vell , Mar-Vell jina lake halisi ni Walter Lawson ambae kwenye muvi ya Captain Marvel 2019 walimbadiri kua mwanamke na kumuita Dr. Wendy Lawson au Supreme Inteligence

Mar-Vell alikua anatumia kifaa kinachoitwa Universal Beam ambacho kilimuwezesha kua na nguvu za kukontrol usumaku, kupaa, speed nk kifaa hichoalikibadirisha na kuwa anakivaa mkononi akakiita Nega Band.

So kama kwenye series wameonyesha Bangle anayovaa Kamala ilitolewa kwenye kiumbe chenye rangi ya blue ambacho naamini ni kree basi nahisi pia hiyo Bangle ndio hiyo NegaBand aliyokua anaitumia Walter Lawson.

So kuna uhusiano mkubwa kati ya Bangle ya Kamala na Rings za Shang Chi ndio maana Carol Danvers alikueepo kwenye Post Credit scene.
View attachment 2279239
Series bado inaendelea ngoja tuone itatuonyesha nini hasa ikiisha, series haipo bomba kivile ila story yake tu inavutia coz inaunganisha na muvi zijazo so vumilieni muiangalie msiwe kama yule jamaa aliyekua anaulizia kuhusu watoto wa Wanda.
Kama sijaeleweka ulizeni wenye maswali.
I'm happy to Comply!

Cc
Dinazarde Dream Queen Marc Spector Jorge WIP Kimura_shinji thephilanthropist bravocharlie
Shukrani nimekuelewa.

Swali langu ni moja ronillonin the accuser tutamuona tena?
Kwenye comics yupo kama adui mkuu au ni mpita njia tu,nataman kumuona tena maana kwenye captain marvel ni kama alionekana atakuja tena for some reason nilihisi ataungana na Thanos
 
Batman anawezagaje ku calculate every posibility yule jamaa siku zote ana back up[emoji28]
Kuna animation ya dc naitafuta nilionaga kidogo
Kuna jamaa ana mirror guy sijui anatembea ndani ya vioo,aliingia kwenye ofisi ya batman kijanja,akaiba file ambalo linaonesha plans na weakness za supes wooote.
Batman alikua nayo hiyo kwasababu yeye ni human so alikua na plan hizo incase of anything.

Kwaiyo alikuja kushtuka baada ya kuona masuper hero wenzie waananza kuanguka mdogo mdogo akajua tu kuna mtu kaiba zile files.
Jamaa ana plan ya kupambana had na superman nadhan ndio ile ya batman vs Superman
 
Naonaga Joker ndio anamuumizaga kichwa

Joker anakwambia “Nobody kills Bat but me” [emoji23]
Kwenye lego batman alikua hataki joker afe,yaan wamekua maadui ndugu batman alikua kama anafeel empty bila joker na joker alitaka atese tu akijua jamaa atateseka sijui
 
SAMAHANI KWA KUI SPOIL MOVIE ILA NGOJA NIANDIKE KWA CAPITAL LETTER ILI WASIOPENDA KU SPOIL MOVIE WARUKE WASISOME

THOR NADHANI TUTAENDELEA KUWEPO NAE

KWENYE POST CREDIT SCENE YA THOR LOVE AND THUNDER TUNAMUONA ZEUS AME SURVIVE WENGI WALIJUA GORR ATAMRARUA ATAKUFA [emoji1787] ILA HAPANA

TUNAONA AME MIND HUMANS WANAWACHUKULIA KAMA JOKE MZAA WAKATI ZAMANI WALIKUWA WAKI WA WORSHIP WAKIWAOMBA VITU VINGI MFANO MVUA , MSAMAHA BILA KUJALI MIUNGU INAWASIKILIZA ( HAPO ZEUS ANAONGEA KWA HASIRA AONYESHWI ANAONGEA NA NANI )

AKAENDELEA KUSEMA SAHIV BINADAMU WANA HUSUDU SUPERHEROES ILA NOW. WATAANZA SASA KUTUOGOPA TENA DO YOU UNDERSTAND MY SON DO YOU UNDERSTAND HERCULES (NADHANI WAZEE WA GREEK MYTHOLOGY MNAMJUA HUYU) HERCULES ANAONYESHWA AKIJIBU YES FATHER

SO HAPA KUNA MAWILI HERCULES IS COMING FOR THOR NA GODS WANAANZA KU REBELS AGAINT HUMAN

SO TUKIACHANA NA MULTIVERSE WAR TUNA COSMIC WAR

WELCOME TO THE FRICKIN MCU PEOPLE
Since ni spoiler sijasoma ila nimetaka ujue tu hadi huku tupo pamoja ndugu yangu THE KUNGURU
 
Ushafeli mzee, character ya Ronan the accuser wa kwenye Captain Marvel 1996 alikua ni young version ya Ronan wa kwenye Guardian of the Galaxy 2014 sina uhakika kama alikufa kwenye GOTG. So naamini muvi ya The Marvel 2023 itahusu present time. Kama ni hivyo basi Ronan hataonekana kama alikufa kwenye GOTG 2014
Acha utani bhana daaah
 
Back
Top Bottom