Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Kuna animation ya dc naitafuta nilionaga kidogo
Kuna jamaa ana mirror guy sijui anatembea ndani ya vioo,aliingia kwenye ofisi ya batman kijanja,akaiba file ambalo linaonesha plans na weakness za supes wooote.
Batman alikua nayo hiyo kwasababu yeye ni human so alikua na plan hizo incase of anything.

Kwaiyo alikuja kushtuka baada ya kuona masuper hero wenzie waananza kuanguka mdogo mdogo akajua tu kuna mtu kaiba zile files.
Jamaa ana plan ya kupambana had na superman nadhan ndio ile ya batman vs Superman
Jamaa wa vioo anatembea kwenye mirro dimension, kitu chochote kinacho-reflect mwanga basi anaweza kukitummia kama usafiri wake.

Plan ya batman inaitwa "Contingency Plan ", back in the days niliimeza hii kitu, huwa napenda kuisikiliza tu. na katika plan hiyo hadi yeye kajiweka, kama akienda rogue. Superman anadiss sana raia kumiliki green kryptonite, mtu pekee aliemruhusu kuwa nayo ni batman, na anajua batman ataitumia kweli jamaa akizingua.

ile ya batmanVssuperman, naikubali sana ile suit yake, Ironbat.
 
Kwenye lego batman alikua hataki joker afe,yaan wamekua maadui ndugu batman alikua kama anafeel empty bila joker na joker alitaka atese tu akijua jamaa atateseka sijui

Kuna ile joker akawa anamuokoa bat ili baadae akiwa sawa aanze kufanya mipango ya kumuua

anasema bat hatakiwi kuuawa na mtu yeyote zaidi yake, kukiwa na danger anamuokoa unless danger iwe kaisababisha yeye [emoji23]
 
Anae andika script za joker ndio joker mara mia,kuna ile scene joker kamshikiria mdada kwenye edge ya gorofa,batman akasema let her go joker akamwambia " bad choice of words" i think hahaha akamwachia kweli
 
Hivi mwandishi wa harry Potter na fantastic beasts ni mmoja au?
Naangalia hapa fantastic beasts naona wapo shuleni kwa harry alafu kupo vile vile
Mwenye kuelewa anipe kidogo maarifa hapa
 
The boys wame mmock hadi gal gadot😂 pamoja na ile scandal ya pepsi

C0D48DD1-6A47-4176-ADB1-29B4E1E9440C.jpeg
 
Did someone said Charlize Theron??

[Tabia ya kupenda wanawake nisioweza kuwapata nishaacha but I adore her so much. Kama ninaowapenda humu JF siwezi kuwapata itakua huyo yupo USA
View attachment 2278378View attachment 2278382
Kama kuna mwanaume ana taste nzuri ya wanawake huwezi kuacha kumtamani huyu mrembo jamani.
Kwenye FnF alikua yupo serious lakini bado ni mzuri kwenye old guard oooooh pssssss she's hot

Ni kama hazeeki hahaha
Nikiambiwa nichague nachagua huyu na wonder woman (nimesahau jina kidg)
 
Gal gadot yupo juu hapo
 
Jana usiku ndio nimeangalia doctor strange.
Steve sio supreme leader,ila ni kama vile matatizo yanamfata yeye
Ukiangalia Spiderman na hii MM

Just as he was happy walking down the street jicho likatoka,najiuliza kama dark hold imekua destroyed imeiuaje jicho limetoka au knowledge ni knowledge.

Pia kama nilimuelewa Wang vizuri kuna devil alicast spell ambazo nimejiandika kwenye ukuta wa ile tuiite the original dark hold nawaza tu ile dark hold ni sehemu ndogo sana ya ushetani.

Da'Vinci nikumbushe yule evil wa kwenye comic anaitwa nani ambaye kwenye movie bado hajaonekana,nasikia huyu ndio the bad bad bad
 
Hivi mwandishi wa harry Potter na fantastic beasts ni mmoja au?
Naangalia hapa fantastic beasts naona wapo shuleni kwa harry alafu kupo vile vile
Mwenye kuelewa anipe kidogo maarifa hapa
yap mkuu, mwandishi ni mmoja. Fantastic beasts ni prequel ya harry potter, ingawa ni miaka mingi nyuma.
 
Back
Top Bottom