Marvel Cinematic Universe special thread

Mkuu, hades yuko pouwa sana, sema hizi movies na katuni zinampata sifa mbaya.

Jamaa hana bahati kuna dem alikuwa anampenda alivyokufa yule dem kamkomalia kumpa kila kitu kule underworld manzi akabaki kumkataa tu
 
Ila greek gods walikuwa wanapenda pale kati aisee
Sio poa [emoji1787][emoji1787] ZEUS Kabaka sana HUMANS licha ya kuwa na mke ndio maana demi God walikuwa wengi

Ata peseidon nae ..Medusa hapo awali alikuwa mrembo akamchomolea Hades akaamua amfanyie vile kumkomoa
 
Zeus mke wake ni Pisi kali, jamaa anakatamaa flani hivi.

medusa bado mzuri wa sura, na ndio hiyo inawachanganya wana, ukijiroga kuicheki sura, unakutana na nywele-nyoka zake. Ni adhabu, "ulinikataa, basi hakuna atakaye angalia uzuri wa sura yako na kuishi, akageuka jiwe."
 
Sio poa [emoji1787][emoji1787] ZEUS Kabaka sana HUMANS licha ya kuwa na mke ndio maana demi God walikuwa wengi

Ata peseidon nae ..Medusa hapo awali alikuwa mrembo akamchomolea Hades akaamua amfanyie vile kumkomoa
Medusa hakuwa na hatia kabisa hata ile laana alionewa alikuwa bikra demu wa watu
 
Shukrani nimekuelewa.

Swali langu ni moja ronillonin the accuser tutamuona tena?
Kwenye comics yupo kama adui mkuu au ni mpita njia tu,nataman kumuona tena maana kwenye captain marvel ni kama alionekana atakuja tena for some reason nilihisi ataungana na Thanos
 
Batman anawezagaje ku calculate every posibility yule jamaa siku zote ana back up[emoji28]
Kuna animation ya dc naitafuta nilionaga kidogo
Kuna jamaa ana mirror guy sijui anatembea ndani ya vioo,aliingia kwenye ofisi ya batman kijanja,akaiba file ambalo linaonesha plans na weakness za supes wooote.
Batman alikua nayo hiyo kwasababu yeye ni human so alikua na plan hizo incase of anything.

Kwaiyo alikuja kushtuka baada ya kuona masuper hero wenzie waananza kuanguka mdogo mdogo akajua tu kuna mtu kaiba zile files.
Jamaa ana plan ya kupambana had na superman nadhan ndio ile ya batman vs Superman
 
Naonaga Joker ndio anamuumizaga kichwa

Joker anakwambia “Nobody kills Bat but me” [emoji23]
Kwenye lego batman alikua hataki joker afe,yaan wamekua maadui ndugu batman alikua kama anafeel empty bila joker na joker alitaka atese tu akijua jamaa atateseka sijui
 
Since ni spoiler sijasoma ila nimetaka ujue tu hadi huku tupo pamoja ndugu yangu THE KUNGURU
 
Acha utani bhana daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…