Hujawahi iona animation hiyo?
Angalia hata YouTube kaka ni nzuri kinoma
Jamaa wa vioo anatembea kwenye mirro dimension, kitu chochote kinacho-reflect mwanga basi anaweza kukitummia kama usafiri wake.Kuna animation ya dc naitafuta nilionaga kidogo
Kuna jamaa ana mirror guy sijui anatembea ndani ya vioo,aliingia kwenye ofisi ya batman kijanja,akaiba file ambalo linaonesha plans na weakness za supes wooote.
Batman alikua nayo hiyo kwasababu yeye ni human so alikua na plan hizo incase of anything.
Kwaiyo alikuja kushtuka baada ya kuona masuper hero wenzie waananza kuanguka mdogo mdogo akajua tu kuna mtu kaiba zile files.
Jamaa ana plan ya kupambana had na superman nadhan ndio ile ya batman vs Superman
Kwenye lego batman alikua hataki joker afe,yaan wamekua maadui ndugu batman alikua kama anafeel empty bila joker na joker alitaka atese tu akijua jamaa atateseka sijui
Pamoja mkuuSince ni spoiler sijasoma ila nimetaka ujue tu hadi huku tupo pamoja mdugu yangu THE KUNGURU
Anae andika script za joker ndio joker mara mia,kuna ile scene joker kamshikiria mdada kwenye edge ya gorofa,batman akasema let her go joker akamwambia " bad choice of words" i think hahaha akamwachia kweliKuna ile joker akawa anamuokoa bat ili baadae akiwa sawa aanze kufanya mipango ya kumuua
anasema bat hatakiwi kuuawa na mtu yeyote zaidi yake, kukiwa na danger anamuokoa unless danger iwe kaisababisha yeye [emoji23]
Mimi bado,dokezo kidogoKuna ambae katazama hii Anime ya Attack on Titan?? Karibuni tujadili...
Yaani haichoshi kuitazama
Kuna ambae katazama hii Anime ya Attack on Titan?? Karibuni tujadili...
Yaani haichoshi kuitazama
Kama kuna mwanaume ana taste nzuri ya wanawake huwezi kuacha kumtamani huyu mrembo jamani.Did someone said Charlize Theron??
[Tabia ya kupenda wanawake nisioweza kuwapata nishaacha but I adore her so much. Kama ninaowapenda humu JF siwezi kuwapata itakua huyo yupo USA
View attachment 2278378View attachment 2278382
Gal gadot yupo juu hapoKama kuna mwanaume ana taste nzuri ya wanawake huwezi kuacha kumtamani huyu mrembo jamani.
Kwenye FnF alikua yupo serious lakini bado ni mzuri kwenye old guard oooooh pssssss she's hot
Ni kama hazeeki hahaha
Nikiambiwa nichague nachagua huyu na wonder woman (nimesahau jina kidg)
Kama nilivyobahatusha mwanzo. Jane Foster Kafariki kwa Cancer ya matiti kwenye muvi pia
Demu mkali sana yule dadekiGal gadot yupo juu hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hii thor watu mshaangalia tayari?
Nakumbuka sku ile naangalia Wonder woman 1984 dah alikuwa goddess aiseeDemu mkali sana yule dadeki
yap mkuu, mwandishi ni mmoja. Fantastic beasts ni prequel ya harry potter, ingawa ni miaka mingi nyuma.Hivi mwandishi wa harry Potter na fantastic beasts ni mmoja au?
Naangalia hapa fantastic beasts naona wapo shuleni kwa harry alafu kupo vile vile
Mwenye kuelewa anipe kidogo maarifa hapa