Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Duuh... Mimi naona Mijonir ni powerful kuliko stormbreaker kwasababu kuinyanyua tuu na kuitumia hadi uwe worthy.!! Mapungufu ni kutokusummon bifrost tuu!!Weakness ya stormbreaker ni kwamba inaweza kuwa used against Thor
ukitoa hapo naona ni more powerful kuliko ile Johnson(kwa sauti ya antman... anaiita Mjolnir eti Johnson)[emoji23]
Kuna white people huko mitandaoni imeibua mijadala wakigomea Sam wilson (Anthony mackie) kuchukua role ya NEXT-CAPTAIN AMERICA [emoji16] hawa watu wanachekesha sana haki. View attachment 2286711
Sikumbuki kama ilitokea hivi CLACK GREGG alipomuachia role ya -director of S.H.I.E.L.D black man HENRY SIMMONS.View attachment 2286708ilitokea hata kwenye comic hata hivyo.
View attachment 2286710
Stormbreaker ni moja ya most powerful weapons za asgard kuwahi kutengenezwa. Pia materials zilizotengeneza mijorn ndio zimetengeneza stormbreaker isipokuwa hii stormbreaker imekosa tu Odin's magic.Duuh... Mimi naona Mijonir ni powerful kuliko stormbreaker kwasababu kuinyanyua tuu na kuitumia hadi uwe worthy.!! Mapungufu ni kutokusummon bifrost tuu!!
Lakini nimeona kama stormbreaker ipo conscious vile.
Alistaafu mwishoni mwa movie ya Avengers: EndgameKwani captain America wetu kaenda wapi mpak wamweke huyu banaa
Mi sitaki
Hivi kwenye Love and thunder ina maana gani kwa stormbreaker kumea mizizi baada ya kusimikwa chini kawa muda mrefu??Stormbreaker ni moja ya most powerful weapons za asgard kuwahi kutengenezwa. Pia materials zilizotengeneza mijorn ndio zimetengeneza stormbreaker isipokuwa hii stormbreaker imekosa tu Odin's magic.
Ule mpini wa stormbreaker ulitoka kwa groot, groot ni kiumbe hai jamii ya mti wa huko, so inamaana ukisimika kwa muda mrefu inamea mzizi.Hivi kwenye Love and thunder ina maana gani kwa stormbreaker kumea mizizi baada ya kusimikwa chini kawa muda mrefu??
Jamaa baada ya kurudisha zile infinity stones, akaenda ku-daqnce na peggy carter, kama alivyomuahidi, akaona ndo life hilo sasa, akabaki kule.Kwani captain America wetu kaenda wapi mpak wamweke huyu banaa
Mi sitaki
mkuu, cap A kubaki kule haibadilishi timeline kweli?Alistaafu mwishoni mwa movie ya Avengers: Endgame
Hhaahah mi nazipenda lakin huwa zinajichanganya 😂😂Dina itabidi upange siku tukae pamoja tuzitazame hizi muvi zote pamoja niwe nakuelekeza
Tena kwa mpangilio wa matukio. sio kwa zilivyotoka.Dina itabidi upange siku tukae pamoja tuzitazame hizi muvi zote pamoja niwe nakuelekeza
Sio curse?Stormbreaker ni moja ya most powerful weapons za asgard kuwahi kutengenezwa. Pia materials zilizotengeneza mijorn ndio zimetengeneza stormbreaker isipokuwa hii stormbreaker imekosa tu Odin's magic.
Wanda nimeangalia bana😂😂 na doctor strange ya mwanzo na hii mpyaTena kwa mpangilio wa matukio. sio kwa zilivyotoka.
Na series zake, mfano bila wandavision, anaweza asielewe kinagaubaga matukio ya Dr. Strange;MoM
😂🤣😂😂“Homelander fucked your wife and you wanna save his brat, what’s the hell is wrong with you”
The biggest burn aliopokea Butcher😁
Nimeipenda hii episode 8 aisee iko emotional yaani full packed
Yes, maeve pale kamkalisha Homelander sema alikuwa ana practice kweli kweli kipindi kile na ikalipa[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Soldier boy anatokea kizazi cha full mfumo dume, mambo mengi alikuwa anayashangaa.
Plus, Maeve kwenye hand to hand combat yuko pouwa sana sana, ule mkono aliomtembezea Homelander, nilikuwa naona ni kama wonderwoman vile, hadi ile sehemu bracelet zake zinaweza absorb zile laser za Homelander [emoji108]
“Get out there and kill him, CREATIVELY”What the fu!ck did you say??😅
View attachment 2287416