Marvel Cinematic Universe special thread

nipo hapa bro.
Niambie iko vipi inafaa kuangaliwa maana kwenye convo za stranger things huwa naachwa pemben sana.

hivi hakuna character ambao wakubwa kidg maana naonaga watoto wengi? Na wale viumbe ndio walitoka Area 51 au... unaponielezea usiwaze wala nn wewe spoil tu ishafika mpak S04 what could possibly go wrong
 
Kuna mambo mengi sana ya kusisimua kwenye Blackpanther 2. I can't wait to see it.
 
Nimemuona Namor kwenye teaser ila ni kama mleta shari kwenye kingdom ya wakanda😂.
 
Nilichekigi kitambo viumbe wanatoka upside down, character wakubwa wapo sema sijacheki hii s4 Mana S03 ilikuwa ya uongo hata sikuimaliza
 
Ni nzuri bro. inataka uvumilivu tu, kuna mda inachanganya.

kuhusu wale watoto, kadiri season zinavyoenda wanakuwa nao, kama harry potter au kina sansa, arya etc.
 
Nimemuona Namor kwenye teaser ila ni kama mleta shari kwenye kingdom ya wakanda😂.
Mkuu, sio kwamba maza ake blackpanther ndo atakichafua. amesema, i quote.

"I am the queen of the most powerful nation in the world, and my entire family is gone. Have i not given enough?"

statement kama hiyo anatoa mtu aliyekuwa pushed to the edge, mimi kama maza bp akikichafua, nitamuelewa tu.

Lupita is sad, like sad. nimependa mcu kuamua kumuacha shuri aliendelee, maana kulikuwa na tu rumor twingi.

Dora Miraje, damn, damn, damn.

MCU, wamefanya vyema ku-acknowledge Chadwick's death, Respect.
 
Wakuu, Iron heart.


Kama mnakumbuka iron man 1, kule kwenye Cave alipokuwa anatengeneza mark1 suit, sauti ya nyundo, damn marvel. DAMN.
 

Attachments

  • IH.JPG
    14.3 KB · Views: 11
  • ironheart.PNG
    87.9 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…