Marvel Cinematic Universe special thread

Labda Hercules akija Thor ndio atakuwa serious.

Comedy wangewaachia kina spiderman sababu bado ni teenager, deadpool sababu well u know akili zake anazijua mwenyewe.

Pia wamuachie she-hulk cz ni light version ya hulk.

Marvels wamejisahau sana sababu biashara ya muvi hollywood wameishika haswaa, tuone ikishatoka avatar 2 kama watakuwa bado wanafanya comedy.
 
Watu wawe watata kama Thanos, Killmonger, Cable, Ronan the accuser yaani type hizo. Watu kazi kazi[emoji3]
 
Actors wengi wanazingua sana kadri wanavyokuwa wakubwa sijui shida i wapi au ndio management?

Mfano kuna hawa;

Muangalie Bruce Wills wa kwenye The tears of the sun, die hard au Armageddon na huyu wa leo.

Tony Jaa wa Ong Bak na huyu wa leo

Iko Uwais wa The raid na huyu wa leo

Scott Adkins wa undisputed na huyu wa leo

Michael Jai White wa Blood and bone na kazi za sasa hivi

Mark Welberg wa Shooter nae kawa comedian.

Na wengine kibao... So sad kwa kweli.

Wapo wanaojitahidi kumaintain kama Jason Statham, Donnie Yen, Ryan Reynolds n.k
 
Hapo kwa ryan reynolds sijui maana characters zake za recently he basically plays himself... red notice, 6 undergrounds, free guy, the adam project... you name it
 
Hapo kwa ryan reynolds sijui maana characters zake za recently he basically plays himself... red notice, 6 undergrounds, free guy, the adam project... you name it
At least muvi zake unaweza angalia sio kama hao wengine.

Hao wengine unajikuta unaangalia muvi huku unasikitikia tu mbs zako vile zimeenda bure.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakazia
 
lover & Thunder na Top Gun ni uharo mtupuu...

Promo kuuubwa halafu ndani stunt za kitoto tuu...

Kwa mwaka huu sijaona muvi kali kama The Grayman.
 
Sasa mkuu kuna stori gani pale? Hivi ile ni stori kweli?
Nakubaliana na wewe kwangu top gun naona iko average tu, acting ilikuwa top notch ila story binafsi naona ilikuwa na plot holes.

Mfano upande wa maadui, hakukuwa na any development story whatsoever zaidi ya kuambiwa tu wanatakiwa kuoneshwa cha mtema kuni.

Walau hata background ya mtoto wa goose basi wangeweka, tunasimuliwa tu maverick alizuia application zake but nadhani ilifaa hata tuone ile moment how he took it, the anger and frustration.

Stunts pia zilikuwa za kawaida sana ila walau ilikuwa na afadhari kuliko baadhi ya madudu ya mwaka huu.

Mtazamo wangu.
 
Huu mwaka sio wa kwenda cinema. Bora kudownload tu yify. Tungoje DC wataleta nini.
 
Huu mwaka sio wa kwenda cinema. Bora kudownload tu yify. Tungoje DC wataleta nini.
Kweli kabisa chief, utaenda tu kujutia hela yako.

Hata yts unaona chenga, huwa natest kwanza zali kwenye netnaija ili nisiumie sana.

DC mwaka huu tutapata black adam tu, zingine wamesogeza mbele.
 
Top Gun narudia ni UHARO..... Nashindwa kujua hata ni kwa nn imekaa top kwenye hii list...

 
Captain america 4 tutegemee Anthony Mackie akifanya maajabu kwenye uhusika mkuu kama alivyofanya vizuri movie alizoshirikishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…