Ezio Ezio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 423
- 666
Labda Hercules akija Thor ndio atakuwa serious.
Comedy wangewaachia kina spiderman sababu bado ni teenager, deadpool sababu well u know akili zake anazijua mwenyewe.
Pia wamuachie she-hulk cz ni light version ya hulk.
Marvels wamejisahau sana sababu biashara ya muvi hollywood wameishika haswaa, tuone ikishatoka avatar 2 kama watakuwa bado wanafanya comedy.