Marvel Cinematic Universe special thread

Sasa wakuu, kwa alieangalia "star wars: Andor" , ni nzuri au nipotezee tu?
 
Andor ni nzuri chief... Naifuatilia vizuri na toka episode 1 haijaniangusha.
Story development na characters development yake imetulia sana.
 
Damn it marvels... I mean ok big news but really?

Season finale of she hulk is certified garbage.
Hapana sio kweli mimi nimependa hii Fourth wall aisee.. Yaani nimejikuta nacheka kweli.
Yaani utadhani walikua wanajua hii series tutaiponda😅😅
Jiandaeni na muvi ya World War Hulk si umeona tayari Skaar yupo
 
Yaani utadhani walikua wanajua hii series tutaiponda[emoji28][emoji28]

Kwa skar ilikuwa big news ila daredevil wangemuacha this time. Not cool.
 
Hapana sio kweli mimi nimependa hii Fourth wall aisee.. Yaani nimejikuta nacheka kweli.
Yaani utadhani walikua wanajua hii series tutaiponda[emoji28][emoji28]
Jiandaeni na muvi ya World War Hulk si umeona tayari Skaar yupo
Was looking forward for them to annihilate todd kwa court[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana sio kweli mimi nimependa hii Fourth wall aisee.. Yaani nimejikuta nacheka kweli.
Yaani utadhani walikua wanajua hii series tutaiponda😅😅
Jiandaeni na muvi ya World War Hulk si umeona tayari Skaal
“hulk smashes buildings. i smash fourth walls and bad endings. and sometimes matt murdock” 😂😂😂
 
K.E.L.V.I.N the robot ametengenezewa pia Kofia😂😂
20221013_215800.jpg

20221013_215803.jpg
20221013_215805.jpg

Wakandan "Bongo drums" sound🥁
20221013_215808.jpg

Marvel ni magenious kinoma noma😁😁
 
Hivi ni kwamba i am easy to please au la!, maana nimeikubali eti hii episode sana, nimerudia baadhi ya scenes mara kibao
 
Udhaifu naona wemeforce kumleta DD , ukiacha na hilo KEVIN twist yake was genius... nilidhani watamuonyesha mwenyewe Feige badala wakaweka AI

Swali la Jane kuuliza kuhusu Movies zao na Dady issues was on point maana watu wanataniaga sana kwenye internet... swala la kujisifia kuwa movie zao Ziko near perfect nimecheka mno 😂

Aisee team yao Marvel iko njema sana,
 
DE0AE80A-36B4-47F5-8CB2-240A06F5A1DE.png

😂 hii nilicheka vibaya mno maana nna system mambo yakiwa magumu sana nahama mji temporarily kwenda kupunzika kidogo
 
Udhaifu naona wemeforce kumleta DD , ukiacha na hilo KEVIN twist yake was genius... nilidhani watamuonyesha mwenyewe Feige badala wakaweka AI

Swali la Jane kuuliza kuhusu Movies zao na Dady issues was on point maana watu wanataniaga sana kwenye internet... swala la kujisifia kuwa movie zao Ziko near perfect nimecheka mno 😂

Aisee team yao Marvel iko njema sana,
Mkuu mimi mwenyewe nimejikuta nairudia rudia sana si mnajua natamani kufanya kazi ya usafi hapo marvel studios 😅
Yaani nilikua najihisi kama naingia ofisini sasa. And actually ile ndio ofisi ya marvel na sio VFX basi nimetumbua macho hadi yanauma kusoma ile Non Disclosure Agreement.
Nimependa jinsi jeni alivyohaa kutoka menu ya She hulk kwenda Marvel Assemble 😅

Kwenye comics kuna villain alikua anamsumbua sana jane akaona iswe shida akacha pageza kitabu akatupa kwenye Dustibin hafu akasema "This is my book"😅
 
Hahah alivyowauliza what are you doing, akaamua awafuate

KEVIN anakwambia “Hahah i see what you did there” in robotic voice aisee nimeipenda hii episode
 
Hawawezi Mana ile avatar 1 kila mtu anakumbuka visual zilivo kuwa Kali hii itajiua yenyewe Terminator style
Tatizo sio visuals mkuu, tatizo story itakapoelekea. Avatar2 inakubalika, hiyo ya 3,4 na 5 ndo ishu itakapokuja huko. Ndani ya miaka 6 ijayo kuna avatar movies 3.

Mkuu labda niulize, source material ya avatar ni ipi?
 
Back
Top Bottom