brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 590
- 767
Haina source material hii , pia hata ya Kwanza mafanikio yake NI kutokana na CGI kuwa nzuri story ya kawaida Saana ,Kama hata hii ya pili,3,4 zitategemea Sana visual zitaibeba washafeli. Avatar vS infinity ?Tatizo sio visuals mkuu, tatizo story itakapoelekea. Avatar2 inakubalika, hiyo ya 3,4 na 5 ndo ishu itakapokuja huko. Ndani ya miaka 6 ijayo kuna avatar movies 3.
Mkuu labda niulize, source material ya avatar ni ipi?