Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Movie iko poa, nzuri nimeipenda.
qEQN23YZK6W.jpg
 
Action naipa 7/10

Story 1.5/10

Sio mbaya kwa kuzugia kama wewe ni mpenda mkono.
x5PKDGAyNnM.jpg
 
Wakuu for the first time inabidi leo na mimi niende Cinema. Ni kitu nimetamani toka niujue huu uzi sasa leo wacha nikajionee huwa kuna tofauti gani kuangalia movie Cinema na kuisubilia itoke copy safi.
By the way nipo Dodoma naombeni chimbo zuri nikatulize akili huko ikiwezelana mniwekee na link nikafanye booking mapema.
 
Dodoma kuna mahala panaitwa mysterious cinematix.

Namba yao ni hii wapigie ufanye booking 0763 149 301
 
Ryan Coogler learning how to swim so he could join the actors and cameras and direct the scenes in the water .
 
Ila Siku hizi ndio inflation au vipi Dream Queen au wameona tunapenda Aura? bei imekuwa juu ghafla cinema and by the way seats ziko halfway booked by now, kama unataka kuwahi bora ubook mapema ila kabla ya hayo...nauliza

Hivi hii haitokuwa na preview? “Ile watch before the whole world watches” ... kwamba one day before wanaionyesha na watu mnanunua tiketi
View attachment 2408457
Sorry sikua online ndio naingia leo,
Ile siku bei ilikua hiyo kwa Aura peke yake sikujua kwanni ila mie nilienda Jumapili bei ikawa imeshuka,
Huko Mlimani wanasema kulikua na foleni balaa

Vipi umeiona??
 
Pamoja chief

Mimi naipa 8/10

Mbaku bana ni comedy sana.

Namor katisha kinyama aisee.

Naipa 8/10 pia,

Shuri kamejitahidi pia nimependa zile comedies zao,

Huwezi amini yule Namori hadi mimi mtazamaji nilikua namuogopa [emoji23] sio kwa kubadilika sura kule na kulipa kisasi
 
Naipa 8/10 pia,

Shuri kamejitahidi pia nimependa zile comedies zao,

Huwezi amini yule Namori hadi mimi mtazamaji nilikua namuogopa [emoji23] sio kwa kubadilika sura kule na kulipa kisasi
Namor kwa kweli katisha sana mle

Mtu pekee ambae sijamuelewa kivile ni Riri Williams aka iron heart ila wengine wamefanya poa sana kuanzia Okoye, Mbaku, Shuri, Queen Ramonda, Namor and all Talokans kwa ujumla n.k.

Nilipenda sana humor za hapa na pale yet ilikuwa emotional pia.
Namor pale mwisho alikuwa anapiga kuua sio kuadhibu[emoji23][emoji23][emoji23].

Kifupi nimeifurahia sana tu.

Unlike Black Adam ambayo ilikosa emotional connection kwa kiasi kikubwa, Ryan kafanya kazi nzuri na katuletea one of the best villains KILLMONGER na NAMOR.

Speaking of killmonger, jamaa ni mtata hadi kwenye the ancestral plane.

"Little cousin" haha[emoji23][emoji23]
 
Chris hemsworth amepanga kuchukua mapumziko ya kuigiza baada ya kuugua ugonjwa wa alzheimer's disease.

Ugonjwa huu unaathiri sehemu ya ubongo na kusababisha mtu kupata shida ya kumbukumbu sawa na ugonjwa wa dementia.
 
My Crush huyo wa muda wote [emoji7]

Hizi ni habari mbaya kwa mashabiki na zaidi kwa familia yake, kupoteza kumbu kumbu kubaya sana unaweza ukaisahau familia yako [emoji26]
 
Sijaenda bado kucheki BP. Naona watu mnaipa 8/10 vipi mkifananisha na Original BP?

Maana IMDb original 2018 waliipa 7.3 na hii sequel wameipa 7.4

Nitaenda Monday Cinemax kuangalia 2D

Ila Cinemax anaitaji mshindani wake la zamani Cineplex aisee (Mkuki na Quality Centre)
 
My Crush huyo wa muda wote [emoji7]

Hizi ni habari mbaya kwa mashabiki na zaidi kwa familia yake, kupoteza kumbu kumbu kubaya sana unaweza ukaisahau familia yako [emoji26]
Kweli. Pia nampongeza kuchukua hatua za haraka kujihakikishia tatizo halifiki mbali tofauti na ilivyotokea kwa mpendwa wetu Chadwick
 
Back
Top Bottom