Marvel Cinematic Universe special thread

Rockett hatimaye kapata mkono wa Bucky Barnes

Guardians of the galaxy holiday special[emoji23]

Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]View attachment 2427458
20221125_204629.jpg
 
Top gun ina nini cha kuishinda Grayman?
Sasa mkuu grayman inakukosha nini mzee, typical CIA stories imerudiwa na kurudiwa hamna kipya pale, original bourne films zilishafanya vzuri zaidi kwenye plot ka ile....af we itakua ni wale watu ilimradi umeona mkono kwnye movie basi unaipa 10/10. Anyways cheki rating ya topgun 2 compare na rate ya hio grayman af rudi hapa.
 
Man of steel anapiga avengers na villain wao wote
Superman anaweza wapiga wengi ila kuna wengine hawezi, ukitoa kryptonite superman ni very vulnerable kwenye ishu ya magic, yaani sana.

Pia kuna characters ambazo hatoboi mfano;

Rune King Thor ( sentry ambae ni kama superman wa marvel ila hapo kwa rune king thor anakaa )

Scarlet witch

Gladiator

Jean Grey ( Dark Phoenix )

Silver Suffer

Franklin Richards

Dr. Strange

Hyperion

Captain Marvel

Savage Hulk ( achana na professor Hulk [emoji3] )

Hao wachache na pia yeyote ambae ni master magic user especially chaotic magic kwa sababu superman hana kinga yoyote kwenye ishu ya magic au mind control.

Hivi silver surfer kawahi kuonekana kwenye movie nyngine yoyote tofaut na F4?
 
Superman anaweza wapiga wengi ila kuna wengine hawezi, ukitoa kryptonite superman ni very vulnerable kwenye ishu ya magic, yaani sana.

Pia kuna characters ambazo hatoboi mfano;

Rune King Thor ( sentry ambae ni kama superman wa marvel ila hapo kwa rune king thor anakaa )

Scarlet witch

Gladiator

Jean Grey ( Dark Phoenix )

Silver Suffer

Franklin Richards

Dr. Strange

Hyperion

Captain Marvel

Savage Hulk ( achana na professor Hulk [emoji3] )

Hao wachache na pia yeyote ambae ni master magic user especially chaotic magic kwa sababu superman hana kinga yoyote kwenye ishu ya magic au mind control.

Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hiyo list yako haiko fair kabisa.
1. Rune king thor ni level ya Superman Prime huko, na si level ya huyu superman wa kawaida.

2. Franklin Richards ni level ya The Watcher. Superman ataonewa na kubondwa sana tu. akae kwa near-omnipotents huko

3. Hyperion ni Superman bila ya moral code (ndio advantage yake hiyo). Ila naweza sema, supes atajipambania hapo.

4. Scarlet witch, jean grey na dr. Strange hawa ni magic users. Watamuonea supes. ( labda katika team ya supes waongezwe kina john constantine, zatanna, dr. Fate etc, tunaweza level playing field).

5. Gladiator. Huyu hapa wanaweza kuwa sawa, ingawa supes anaonekana kuwa na nguvu zaidi yake. ( fun fact: gladiator a.k.a Kallark, jina lake limetokana na alias ya supes, yaani "Kallark" = "Kal"(Kal-El) + "Lark"( C"lark" Kent).)

Kwa captain marvel ngoma droo.

Kwa savage hulk, well atajitetea.

Nina Swali.
Suit ya Black panther ina-absorb kinetic energy. Je, inaweza ku-absorb shockwave/punch kutoka kwa Superman au Hulk?
 
Uko sahihi chief.

Kwenye suit ya black panther hapo aisee m not sure ila naegemea kwenye upande kuwa since ni vibranium naweza sema iko almost indestructible ila kumlinda yule mvaaji sasa itategemea ni kwa kiasi gani inaweza ku absorb the energy na how fast can it dissipate the energy before overloading.

So yeah inaweza japo nadhani ni to a certain point hata hivyo.
Ila ndio black panther atakuwa kama kitenesi vile ngumi moja kaanguka kule then nyingine kurushwa kule tena.
 
Back
Top Bottom