Marvel Cinematic Universe special thread

Hivi James Gunn si ndo huyu huyu alietayarisha movie ya Guardian of the galaxy special holiday, huko Marvel, imekuwaje amekuja kuwa boss DC na kuwatoa kina superman,
 
Aliajiriwa na dc kama director wa Suicide Squad wakati akiwa na mkataba pia wa marvel studio. Mwaka 2019 marvel walimfukuza ila walimrudisha tena akaendelea kuandaa Vol 3. Baada ya Kutengeneza series ya Peacemaker ilipendwa sana WB wakafukuza uongozi mzima wa dc ndio wakamchukua James Gunn awe CEO, alimwambiwa kabisa Kevin feige kua kachukuliwa dc awe CEO na Kevin kampa baraka zote.

Cha kwanza kufanya kafuta kila kitu...
 
Binafsi nimeumizwa na kuondolewa kwa Henry ila James ana lengo zuri anataka atengeneze plan yake kama ilivyokua marvel nadhani tukimpa muda atafanya vizuri kumbuka ana madini&Experience kutoka marvel
 
Let's hope so. Mapema mwakani atatoa muongozo wa kule walikuwa wanakipanga.
 
Aliajiriwa na dc kama director wa Suicide Squad wakati akiwa na mkataba pia wa marvel studio. Mwaka 2019 marvel walimfukuza ila walimrudisha tena akaendelea kuandaa Vol 3. Baada ya Kutengeneza series ya Peacemaker ilipendwa sana WB wakafukuza uongozi mzima wa dc ndio wakamchukua James Gunn awe CEO, alimwambiwa kabisa Kevin feige kua kachukuliwa dc awe CEO na Kevin kampa baraka zote.

Cha kwanza kufanya kafuta kila kitu...
Kwaiyo movie zilizokuwa zitoke kama za Aqua man and the lost city ndo itakuwaje
 
Ni Aquaman na The flash tu zitakazotoka zingine zote zipo canceled, kwanza Jasom Momoa hataigiza tena as Aquaman baada ya the lost city. James Gunn kashamsainisha kuigiza character ya Lobo
 
Saa nyingine wanazingua, watareboot mpaka lini?

Then ndio tuseme na jamaa wa twilight ndio atamreplace ben Affleck mazima?
Nope pattisonson hatakuwa Batman wa DCU wanatengeneza wakwao pia joker nayo iko kivvyake vyake kwasababu hizi movie zote zimetengeneza mkwanja mrefu naona wanarudia kosa Lilelile la Aquaman
 
Ni Aquaman na The flash tu zitakazotoka zingine zote zipo canceled, kwanza Jasom Momoa hataigiza tena as Aquaman baada ya the lost city. James Gunn kashamsainisha kuigiza character ya Lobo
Hii lobo ni character gani tena
 
Nasikia batman amepewa acheze character acheze kama the Princess and the frog 🐸, 😂😂😅 (natania)
 
Back
Top Bottom