Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Sijaenda bado kucheki BP. Naona watu mnaipa 8/10 vipi mkifananisha na Original BP?
Maana IMDb original 2018 waliipa 7.3 na hii sequel wameipa 7.4
Nitaenda Monday Cinemax kuangalia 2D
Ila Cinemax anaitaji mshindani wake la zamani Cineplex aisee (Mkuki na Quality Centre)
Ni nzuri sana kiukweli nenda ukamuone Mbabe wa Bahari Namar aliyeweza kuvuka ngome ya Wakanda kupitia baharini, utacheka vituko vya M'baku na Okoye bila kusahau Courage ya Shuri na unyama wa Nakia,
Pia kuna Surprise mwishoni usinyanyuke baada ya maandishi hua nashangaa wengi wanawahi kutoka baada ya maandishi wakati hua kuna scene ya kutambulisha next movie itakuaje.
Hao Cineplex wanaonesha Movies za Kihindi tu hadi kero.