Marvel Cinematic Universe special thread

Hivu jamaa alikua anakuja kuandaa mazingira ya kitu kikubwa zaidi eeeh?
Kwenye comics silver surfer alikuwa akitumiwa na galactus japo sio kwa kupenda.

Silver surfer alikuwa anadestroy planets kwa ajili ya Galactus kwa makubaliano kuwa Galactus hatoidestroy planet anakotokea silver surfer.

So kama nakumbuka sawa sawa ni kuna sehemu aliwaonya fantastic four kuhusu huyo Galactus.
 
Yes yes
Sasa nawaza silver surfer vile alivyo ni yeye ndio ana zile ability au aina viumbe katika dunia yake?
Kama wapo wengi wale ni hatari aiseee
 
Napita tu, ila walioangalia Avatar 2 wanasema visual, storyline na cinematography kiujumla zipo iconic
 
Avatar 2[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ukiangalia kwa 3D[emoji91][emoji91] wow
Najitahidi nikaangalie uko

Hivi kuna app ya kuangalia bei na ratiba ya movie cinemax
Pia kati ya mlimani na kule fire ipi iko poa maana nimeangalia cinemax mlimani sijapenda sana na hapo nilikua sijaenda muda nilianzisha tabia ya kusubiria HD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…