Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Nikiwa excited sana na muvi kabla haijatoka torrent najilipua cinema kwa $7 tu
 
Nanunua kwa waliozipakua.. mm naona kukaa nasubiria muvi imalize kupakua nachelewa. Nikitoka mishe napitia kwa jamaa atudio kwake hakosi muvi. Ananifanyia singo muvi moja kwa buku na Complete season buku mbili
Hiyo buku me ni ya bundle tu usiku gb 10 nashusha mizigo niitakayo.
Natega then nalala. Nikiamka vitu vimemaliza.
 
Daah mimi nishashindwa kwakweli kwanza sijui kupakua muvi..
Fanya kuinstall bitcomet,
Alafu Ingia yts.com humo zote Ni hd,
Ukishachagua unayotaka,
Bofya download,ukishabofya download utaona alama ya magnet bofya kwenye magnet, hiyo bitcomet itadaka fasta mzigo unaanza kushuka,

Huwa nadownload muvi hata tisa,
Bando la 10gb saa6 mpaka 12asubuhi.
 
Nimeikuta kumbe ilishapakiwa muda tu.
Screenshot_20191027-130203.jpeg
 
Kingine kuhusu hulk naona nguvu zake kama si kama zamani walivyokuwa separated na professor bunner saivi zimepunguzwa sana sijui kwanini marvel wamefanya hivyo!?
 
Back
Top Bottom