Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Fanya kuinstall bitcomet,
Alafu Ingia yts.com humo zote Ni hd,
Ukishachagua unayotaka,
Bofya download,ukishabofya download utaona alama ya magnet bofya kwenye magnet, hiyo bitcomet itadaka fasta mzigo unaanza kushuka,

Huwa nadownload muvi hata tisa,
Bando la 10gb saa6 mpaka 12asubuhi.
Ahsante mkuu. Kesho nikiwa kwenye wifi nitapakua niwezavyo..
 
Kingine kuhusu hulk naona nguvu zake kama si kama zamani walivyokuwa separated na professor bunner saivi zimepunguzwa sana sijui kwanini marvel wamefanya hivyo!?
Daah kwakweli sijajua. Ila kama mwenyewe alivyojieleza kwenye Endgame anasema Bunner na Hulk ni mtu mmoja sasa so anatumia zaidi Intelligence
 
Wamemuacha kwa sababu aina ya character batman ijayo ni mdogo hivyo wakaona watafute actor kijana zaidi ambae angalau atafit sehemu hiyo.
Now i understand kwanini wametoa Joker na kuturudisha miaka ya nyuma huko kipindi Bruce Wayne akiwa mdogo
 
Jon Favreau "Happy Hogan" Director wa muvi za Iron man anasema kuna uwezekano kuwepo kwa Irin man 4
 
..
FB_IMG_1568719290529.jpeg
 
Tarehe 16 mwezi huu Ryan Reynolds (Deadpool) kasema wamekubaliana tayari na uongozi wa MCU so rasmi ataingia kwenye kundi.. Imagine wakutane na akina peter Quill full vicheko tu
Ila wamesema watamaintain R-rating ya Deadpool
 
Ngoja tusubiri 2021 tuone maana huo mwaka kuna muvi nyingi nzuri zinatoka. Ila sijapenda kumtumia Angelina Jolie kucheza kama main actor kwenye the Eternal
Afu nasikia the eternals itakua lgbtq themes sana.
 
Afu nasikia the eternals itakua lgbtq themes sana.
Yeahhh adui nadhani ni kit Harlington wa Game of thrones.
Si unaona kwenye Endgame wali introduce Gay... Joe Russo (former director) alicheza kama gay kafiwa na bwana wake..wanaongea na Cap kule kwenye stadium
 
Back
Top Bottom