Inaonekana sio mpenzi wa hzi muvi.
Ipo hvi..kwenye Endgame baada ya kuweza kutengeneza time machine Black widow,Colonel Rhodes,barton clint,Nebula wali fly back mpaka mwaka 2014. Rhodes na Nebula walienda Morag..black widow na Clint walienda Vormir kuchukua Soul Stone. Ili uchukue soul stone inabidi utoe roho ya mtu unayempenda,Clint na Black widow walikua ni marafiki mno kama kaka na dada. So clint akasema atajitoa yeye,Black akagoma akasema ataenda yeye.wakaanza kupigana mwisho black widow akafanikiwa kudondoka kwenyeshimo la kutolea kafara. Ndipo alipokufa hapo!
TONY STARK
Baada ya kupambana na Thanos akafanikiwa kumnyanganya infinity stones akazivaa yeye zile stones ni very powerful kwa binaadamu wa kawaida zinaweza kumuua so tony alijitoa muhanga akasnap fingers..stones zikamuua. Kwenye kundi lao mtu anayeweza himili nguvu zile ni Carol Danvers (Cap marvel)..Thor kiasi na Hulk.