Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Epsode 6 marvel ndo Wamafenya unyama Best final episode kwa Series Nilizoangalia za Marvel 2021 starting with Falcon Loki and Hawkeye
Inawezekanaje hii thread iwe kimya hivi hakuna hata wa kuanalyse Doctoŕ Strange 2 hata Review ya Hawkeye maana imekwisha
Me pia nilioenda Ep3 na Ep6 series ilikua nzuri. Kuhusu Doctor strange nasikitika kwamba inawezekana Stephen strange akawa swapped na Clea maana Mcu wanataka kuweka superhero wa kike tu. Shenzi kabisa
 
Itakua Ni udwanzi siku wakiweka Female Captain America, kwanza kwa Thor tu sijapenda Labda Wasipo mwap Hemsworth
 
Hawkeye best episodes ni episode 3 & 6
Au ingia 1337x.to then pakua kama Torrent

Niambie hii conversation inatoka kwenye muvi gani. Naipenda sana jinsi wanavyoongea kwa vina

Lyla : You're a bit late.

Miguel : Can't all be everywhere at once.

Lyla : A little text might have been nice.

Miguel : I was gone for less than two hours. What happened?

Lyla : Okay, okay, okay. I know what it looks like, but... here's the good news.

Miguel : Oh, here we go.

Lyla : The multiverse didn't collapse.

Miguel : Oh, cool!

Lyla : A little touch and go. It worked out.

Miguel : Great story. Hey, did you finish the goober?

Lyla : It's not a goober. It's a gizmo.

Miguel : You always have to call me out? It's just really frustrating and that bums me out.

Lyla : Don't get too excited, Miguel. It's just a prototype.

Miguel : Not excited.

Lyla : But you could be the first person to make an autonomous multiverse jump. Or the last.

Miguel : Okay, so we're just... gonna roll the dice on this?

Lyla : So what do you say, pal? Where do you want to go first?

Miguel : Let's start at the beginning, one last time.
 
Nimeipenda Hawkeye. Kwa sasa Florence Pugh(Yelena) ndiyo muigizaji wangu bora wa kike. Bonge la talent.
 
Kwa upande wa Doctor strange in multiverse of Madness Doctor strange ataungana na Wanda maximanof (Scarlet witch). Kutakua na maadui (Vilain) watatu...Pia itakua sio fantasy au Sci-Fiction bali itakua Horror. Itakua muvi ya kutisha ya kwanza kutengenezwa Marvel
Si wanasema movie yao ya kwanza, kuwatoa ilikuwa ni Blade. Na hii ilikuwa ya kutisha. Wanadai bila Blade kungekuwa hakuna MCU, ndiyo iliwaweka mjini.
 
Si wanasema movie yao ya kwanza, kuwatoa ilikuwa ni Blade. Na hii ilikuwa ya kutisha. Wanadai bila Blade kungekuwa hakuna MCU, ndiyo iliwaweka mjini.
Ni kweli blade ndio iliwasaidia kuanzisha MCU maana kipindi kile iliuza sana wakapata mtaji wa kuanza nao. Marvel walikua so broke kipindi hicho na wamepitia mengi sana ndio maana ilibidi wauze Characters kama vile Fantastic 4,XMen na Spiderman though kwa sasa wamerejeshwa tena maana Disney ilinunua hayo makampuni (Fox Century).
Blade ilikua ni Horror kutokana na nature ya story yake.

Sasa muandaaji wa Doctor Strange 2016 bwana Scott Derickson alitaka Muendelezo wa hii muvi uwe Horror akataka amtumie character mmoja anaitwa Clea (ni mpenzi wa D.Strange) uongozi wa Marvel Studios wakakataa hawakupenda idea zake wakamwambia abadirishe.. Scot akagoma, kweli wazungu sio wenzetu yaani bora aache pesa kuliko kubadiri maamuzi yake loh. Alivyogoma ikabid Sami Raim achukuliwe kuifanyia marekebisho muvi.

Badala ya Clea akawekwa American Chavez, inaonyesha American Chavez ndio atashika mikoba ya Doc strange. Wanakela sana na wataniboa kama watafanya hivi
 
Hapa nimeelewa vyema. Ila naona kama siku hizi movie nyingi wanazipunguza makali na kuweka comedy nyingi. Naona ndiyo kuna soko.

Huyo American Chavez ni mlatino? Ni kama hii studio inataka kugusa Races zote hata kama itaudhi mafans wake. Wachina, mablack nk.
 
Hapa nimeelewa vyema. Ila naona kama siku hizi movie nyingi wanazipunguza makali na kuweka comedy nyingi. Naona ndiyo kuna soko.
Kwa upande wa Marvel muvi zao nyingi hua zinakua kwenye Parental Guid(PG) 13. Hivyo ndio maana muvi zao nyingi hua zina comedy, pia hufanya hivyo ili kuwavutia watu maana watu kua serious muda wote inaboa. Sasa kwenye Deadpool ndio kuna kizaa zaa maana kama umezitazama hizi muvi hua zina mauaji na Zimewkwa kwenye rate ya Restricted Rate (R-Rate) sasa kwakua wameiingiza kwenye MCU ndio wanajadili iendelee kua R-Rated au waishushe PG 13. Kumbuka kwa mtindo wa muvi za Deadpool wakiishusha itakua imepoteza ubora ni kama vile Punisher...Lakini Director wa Marvel studios anasema itakua R-Rated
Huyo American Chavez ni mlatino? Ni kama hii studio inataka kugusa Races zote hata kama itaudhi mafans wake. Wachina, mablack nk.
Hapana.. Originality ya character ya America Chavez kwenye comics ni native american sio latino. Hata muigizaji wa hii character aitwae Xochitl Gomez naye ni mzawa halisi wa marekani (Native american). Kama ni msomi wa comics za marvel utagundua hakuna race duniani ambayo haijaguswa. Lakini nafurahi zaidi race yetu ya Black wameipa hadhi kubwa upande wa Black panther
 
Series pekee ya Marvel walopatia ni Daredevil kwa mtazamo wangu...kuanzia villains mpaka heroes.

Aisee ni mashine mkuu...jaribu kuicheki
Yuup nlsikia hizo rumours japo single muvi yake ilitoka kitambo Ben affleck aliigiza kama Daredevil
Mkuu ahsante kwa kunidokeza hii series kipindi hicho nilikua sijaitazama. Kwakweli ni moja ya series bomba sana kutoka marvel cast imetulia na fight scene zake ziko vyema. Charlie cox aliitendea kazi njema hii series yaani unaitazama huchoki nishaitazaa mara kibao na nimeiruudia tena nipo Ep10S1

Kama ulivyosema villains wake walikua ninkoma ukianzia Vladimir, Nobu, Kingpin na kubwa la maadui mwenyewe Bullseye. Daah jamaa Dex alinikosha sana jinsi alivyokua anarusha vitu (Recotcheting) mimi mpaka najiauliza leo hivi risasi can be recotcheted?? Ilibidi nikoseme comic version ya huyu villain daah jamaa ni noma sana. Aliwahi kuua watu 2 wakiwa umbali wa mita 200 kwa kumrishia toothpick.
Ulilona ile scene aningia office za NY Bulletin kumuua yule shahidi. Alikua anarusha tu penseli na peni very interesting

Kuhusu muvi ya Daredevil, Kevin feige alisema kua Matt Murdock yeye anasafisha tu mtaa wake uwe safi kwa kuondoa wahalifu so hadhani kama itakua vyema kuweka bajeti ya million 200 na aliens ship kwa mtu ambae yeye anapambana tu na wahalifu mtaani na dio kwa dunia nzima. Hivyo muvi yake pekee tusahau...Ila nimefurahi sana kuwepo kwenye Muvi ya spider-man. Na inawezekana Daredevil akatokea kwenye series ya She Hulk. Maana inadeal Lawyers au akawepo kwenye Moon knight series.

IMG_20211216_133750.jpg
 
Niambie hii conversation inatoka kwenye muvi gani. Naipenda sana jinsi wanavyoongea kwa vina

Honestly nlkiuwa sijui imetoka wapi nkaitafuta nimeona ni Spider verse edge of time game play sema nimependa the way hiyo dialogue ilivyokuwa inaenda
 
Honestly nlkiuwa sijui imetoka wapi nkaitafuta nimeona ni Spider verse edge of time game play sema nimependa the way hiyo dialogue ilivyokuwa inaenda
Yeaah hii conversation ipo kwenye end credit scene ya Spiderman into spider verse. Ambapo version ya spiderman aitwae Migue Ohara kutoka mwaka 2099 alikua anaongea na Artificial Inteligence wake aitwae Lyla kuhusu multiverse, Inaonyesha Miguel alikua anataka kufanya multiverse jump kutoka universe yake (Inaitwa Nueva York ambayo ni version ya NewYork pia) kwenda universe zingine walizipo Spiderman wengine hapo hapo NY. Akasafiri had Earth 67 wakaanza kunyosheana vidole🤣

Miguel Ohara ataonekana kwenye muendelezo wa into spider verse October mwaka huu.. Hii character nilikua sijaifahamu imebidi nitafute comics zake nikamsoma.

Tazama video ya hiyo scene
 
Yeaah hii conversation ipo kwenye end credit scene ya Spiderman into spider verse. Ambapo version ya spiderman aitwae Migue Ohara kutoka mwaka 2099 alikua anaongea na Artificial Inteligence wake aitwae Lyla kuhusu multiverse, Inaonyesha Miguel alikua anataka kufanya multiverse jump kutoka universe yake (Inaitwa Nueva York ambayo ni version ya NewYork pia) kwenda universe zingine walizipo Spiderman wengine hapo hapo NY. Akasafiri had Earth 67 wakaanza kunyosheana vidole[emoji1787]

Miguel Ohara ataonekana kwenye muendelezo wa into spider verse October mwaka huu.. Hii character nilikua sijaifahamu imebidi nitafute comics zake nikamsoma.

Tazama video ya hiyo scene
View attachment 2081921

yeah niliiona, nilivyoona jina Miguel nkawa curious nkasema kuwa atakuwa Mexican nn...yeah stereotypes, sema nikawa sahihi ana Irish side pia

Unajua nini alivyosema anaenda Earth 67 nkakumbuka Rick and Morty kama unaiangaliaga it’s one of my favorite kuna Rick C 137 mle kwahiyo hiyo 7 ikankumbusha kule[emoji28]
 
hivi mtu mzima kabisa unaangalia movie ya superhero na unapata stimu, jamaa sjui anatoa moto kwenye miguu sjui anapaa🙁🙁
 
Back
Top Bottom