Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Anatuxo nyingi na Oscar mbili, lakini hamna hata moja ya maana amepata kama actor. Gone Girl ni movie nzuri sana, lakini yule sister naona ndiyo movie nzima. Kuna hii accountant, movie nzuri ila uigizaji wake naona kama bado.
Naona Bale alikuwa Batman mzuri mara nyingi kulinganisha na jamaa. Ila anaonekana kama director yupo vizuri sana.
acting anaweza sana ndg yake Casey performance ya ile Manchester by the sea ilikuwa outstanding, ndio maana alipata oscar I think