Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #301
asaidiwe huyu mtu mm sion hata pa kuanzia... msipite tu
Kwanza ni kweli kabisa hao Character wote walikufa kwenye hizo muvi za za mwanzo kasoro Mmoja tu ambae ni Flint Marco/SandMan kwenye Spiderman 3 hakufa.Asee ebu mnieleweshe hapa kwa Spider Man no way home, wale jamaa waliokuja kutoka sijui wapi si katika movie wamekufa mfano yule mwenye machuma ya miguu alifia kwenye maji, na huyu mwenye kigari kinachopaa aligongwa na hicho kigari kilikuwa na mikuki sijui, sasa humu wazima imekuwaje
Sasa ipo hivi!
Baada ya spell ya Doctor Strange kwenda vibaya kilichotokea ni kwamba kila adui wa spiderman kutoka version mbalimbali aliitwa pamoja na Spiderman wake ndio maana walitokea Venom,Goblin na Doc Ock pia kwa version nyingine walitokea Lizard na Electro.
Logic ni kwamba haijalishi walikufa au hawakufa ila ilimradi walikua ni adui wa spiderman kutoka version mbalimbali.
Lakini pia kwa mujibu wa muvi inaonyesha kwamba walitokea kwenye No way home kabla kule kwenye dunia yao hawajauawa ndio maana Peter wa sasa alikua anapambana na doctor strange kuwatibu matatizo yao ili wakirudi dunia yao waiuawe na Spiderman lakini Doctor Strange alikua anamwambia it's their fate kwamba lazima wauawe na Spiderman.
Mfano rahis kama umeona series ya Loki, huku kwenye Endgame alikufa. Lakini kwenye series yupo maana alitoka timeline moja na kwenda nyingine ambapo huko alikua hai na mpaka leo atakua hai