machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Kwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, DC pamoja na DCUE ina characters wazuri sana, wape chance, natumai utawaelewa. (NB; WB ndo wanaiharibu).Ahsante sana mkuu kwa maelekezo yako ila Ukweli siipendi cast ya Robert as Bruce Wayne
Mbona mm nazielewa vuzuri tu hasa X-Men.
Anzia Iron Man... Ukifika Spiderman no way home angaia kwanza Spiderman 1
Hongera sana...Karibu AntiHero Winter soldier
Mkuu, DC pamoja na DCUE ina characters wazuri sana, wape chance, natumai utawaelewa. (NB; WB ndo wanaiharibu).
Kwenye ishu ya cinema, imetenganishwa ka Big Screens Na Small Screens.katika comic universes, Big screen ndo inahusisha muvi zote ambazo ni Live action, huku sasa MCU kapaweza sana sana sana. Kwenye Small screen ndo animation sasa, na huku ndo DC/DCEU anatamba sana, ingawa nako MCU wa wanakuja speed sana.DCEU... sema kwenye animation wanafanya vizur, napenda sana wafanye vzr ili niwe nimeishi kwenye era nzur sio Dc ianze kufanikiwa wakat sis hatupo
Ni concept ya multiverseKwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
Clearly bado hujaelewa concept ya multiverse vizuriKwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
Ngoja nijaribu game hii ... character yangu ni Bucky BarnesWakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Marvel Mates
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.
So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.
Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.
Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo[emoji3577]
View attachment 2125081
Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Nadhani ukiangalia movie inajieleza sababu ya wao kuwepo.Kwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
Nadhani ukiangalia movie inajieleza sababu ya wao kuwepo.
Spider man No way Home itaachia kwenye digital kuanzia March 22Kuna habari gani??
Ooh mbona mbali hivyo? Nilitegemea mwishoni mwa mwezi huu!!Spider man No way Home itaachia kwenye digital kuanzia March 22
daah bado sanaSpider man No way Home itaachia kwenye digital kuanzia March 22
Wazo zuriWakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)