Marvel Cinematic Universe special thread

😂😂 Our boy
1648475262779.jpg
 
Sema deadpool akiwa wakike I can’t imagine the sexual tension maana hiyo picha says it all

nobody does deadpool better than Ryan Reynolds labda huyo binti awe wa alternate timeline...[emoji3166] deadpool wa kike atakuwa kama Haley Quinn wa kule DCEU

If i was to date Supervillain wa MCU ningemdate Hella dada ake thor, i love the accent kiujumla nampenda hella... anakwambia “you’re in my seat now get up”
umenifanya nicheke man.
mimi nina hii kitu na russian accent ikiongelewa na mdada, so if i were to date, i would go for Yelena 100%, na ningeoa kabisa.
 
Jeez! Yelena hapo umechagua, halafu she seems fun na ile accent dah ndio mle mle
 
Bro, Natasha alikuwa chaguo la kwanza,(Honestly, Avengers
: Endgame ilinichukua siku mbili kuimaliza, ile sehemu Nat anaji-sacrifice, nilipata mixed emotions nikapause kwanza kutafakari, nikaja imalizia muvi kesho yake).

Then, kwenye Black widow, Yelena huyu hapa, it was/is love at first sight. Akajanimaliza kabisa kwenye series ya clint barton, lafudhi ya kirusi pia ni bad-ass fighter.
 
accent huwa zinavutia sana sijui kwann?
 
Sema deadpool akiwa wakike I can’t imagine the sexual tension maana hiyo picha says it all

nobody does deadpool better than Ryan Reynolds labda huyo binti awe wa alternate timeline...[emoji3166] deadpool wa kike atakuwa kama Haley Quinn wa kule DCEU

If i was to date Supervillain wa MCU ningemdate Hella dada ake thor, i love the accent kiujumla nampenda hella... anakwambia “you’re on my seat now get up”

It comes to my attention that you don’t know who i’m!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halafu akawa anageuka kuwaangalia[emoji28]..huyo mwanamke achana nae tu, lakin ukiangalia hana makosa sana yeye kaja kuchukua kiti chake kuwa queen, tatizo alivyoua watu wengi tu
 
Series ya WANDAVISION tumeishia tulipoishia. MCU wamesema hakuna muendelezo.
Kutakuwa na spin-off

Series ya Agatha yule jambazi wa Wanda vision

And Agatha alimwambia Wanda hajui alichosababisha au alichokiamsha

So someone is coming

Nadhani kutakuwa na movie ya Scarlett witch huko baadaye
 
Umenipa mwanga wa nini kinaendelea. Thanks.
 
Back
Top Bottom