Marvel Cinematic Universe special thread

Nimeiangalia aisee Marvel [emoji1430], casting hawajakosea kabisa Lead actor kachukua uhalisia anahangaika you can feel his pain...nimeipend san
Jamaa ni kipaji sana. Bado nawaza ilimchukua mda gani ku-master ile acting?? Maana si mchezo.
 
Wakuu sijapendezwa na hili jambo, Huyu mwenzetu kauliza muda mrefu ila hakupatiwa majibu. Mkifanya hivi huu uzi unakua hauna maana kabisa maana lengo ni kupashana habari na kujuzana yale tunayoyafahamu.. ndio maana mtu akiuliza kitu humu hua najitahidi niandike gazeti ili apate ufafanuzi.. Sio poa asee, lengo tuwe kitu kimoja humu.
_____
Back to the topic...
Uzuri hizi muvi za X-Men zote ninazo hadi New mutants, so mkuu jibu la swali lako ni kwamba..

Moja ya kitu walichofeli watengenezaji wa hizi muvi sidhani kama walikua na continuity plan ya franchise nzima ndio maana ukifuatilia utagundua kuna makosa mengi ya story development. Mfano mdogo tu angalia muvi ya Dark Phoenix ambayo imesetiwa miaka ya 90s Magneto alikua ni kijana ila ukija X1,2& 3 ambazo zimesetiwa miaka ya 20s Magneto alikua mzee kabisa kwamba just in 10yrs alitoka ukijana kwenda uzee....So utakuja kugundua kwamba hapo kuna makosa ya Character development.

So hizi muvi za foxVerse zina makosa mengi kwenye storyline so cha msingi anaalia kisha achana nazo tu zitakuumiza kichwa. Hopefully MCU watawafanyia kazi vyema
Thanks for this
 
Always enjoying myself when i recall this convo

Wilson Fisk]: I was thinking about a story from the Bible.

[Guard 1]: Did I tell you to open your mouth?

[Guard 2]: Let him talk. Don’t mean nothin’.

[Wilson Fisk]: I’m not a religious man… but I’ve read bits and pieces over the years. Curiosity more than faith. But this one story… There was a man. He was traveling from Jerusalem to Jericho… when he was set upon by men of ill intent. They stripped the traveler of his clothes, they beat him, and they left him bleeding in the dirt. And a priest happened by… saw the traveler. But he moved to the other side of the road and continued on. And then a Levite, a religious functionary, he… came to the place, saw the dying traveler. But he too moved to the other side of the road, passed him by. But then came a man from Samaria, a Samaritan, a good man. He saw the traveler bleeding in the road and he stopped to aid him without thinking of the circumstance or the difficulty it might bring him. The Samaritan tended to the traveler’s wounds, applying oil and wine. And he carried him to an inn, gave him all the money he had for the owner to take care of the traveler, as the Samaritan, he… continued on his journey. He did this simply because the traveler was his neighbor. He loved his city and all the people in it. /(sighs deeply)/ I always thought that I was the Samaritan in that story. It’s funny, isn’t it? How even the best of men can be… deceived by their true nature.

[Guard 1]: What the hell does that mean?

[Wilson Fisk]: It means that I’m not the Samaritan. That I’m not the priest, or the Levite. That I am the ill intent… who set upon the traveler on a road that he should not have been on.
 
aah ile story ya msamalia
 
Nimeangalia Series ya Loki episode ya 6, kwa kweli i’m disappointed.
Nilitegemea He Who Remains (Kang) litakuwa ni pande fulani la mtu jamii ya Thanos, akiwa serious bila utani, matokea yake Kang mwenyewe anacheka cheka tu kama demu na kula kula ovyo.

Sasa sijui variants wake watakuwa ni watu wa action ama la!
 
twist
 
Kang mwenyewe anakwambia wait until you meet my variants hapo ndo mtajua hamjui
 
IMG_2390.jpg

[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna muvi nilicheki inaitwa catwoman vp wale ni marvel au sio mbona hawatoi mwendelezo wake?
 
Wale ni DC na sio Marvel, kuhusu muendelezo wa Catwoman wanaweza waka reboot kama kawaida yao ila sio leo wala kesho. Catwoman alikuwepo kwenye hii batman mpya ya mwaka huu japo nmesoma baadhi ya posts watu wamemsema hawakupenda performance yake.

Catwoman ilifanya vibaya sana, critics ziliikosoa mpaka lead actress Hale berry aliiponda kwenye speech ya award kwa kusema "thank you for casting me in ....awful movie"

Natumain nimeeleza kidg, natumia JF ya web sijaizoea kuandika naona ni tatizo aisee
 
thanks nimekupata vyema mkuu.
 
Nimeangalia Series ya Loki episode ya 6, kwa kweli i’m disappointed.
Nilitegemea He Who Remains (Kang) litakuwa ni pande fulani la mtu jamii ya Thanos, akiwa serious bila utani, matokea yake Kang mwenyewe anacheka cheka tu kama demu na kula kula ovyo.

Sasa sijui variants wake watakuwa ni watu wa action ama la!

Huyo unaemzunguzia alikuwa ana control time na event alijua kila kitu kuhusu thanos na akawa mtazamaji na infinity stones kwake ni kama piece of rocks.a rocks used by celestial ...marvel are you joking ? [emoji1787]

"Not every version of me was so.. pure of heart"

"To some of Us new world's meant only one thing ,new lands to be conquered "

Kang the conquer

So my dear marvel friend that is the start and the beginning of countless versions of the most dangerous person

Ambaye atapambana na Avangers ,Dr strange, fantastic four na wengineo

Kuhusu Eternals sijajua labda watakuwa wanaandaliwa kwa ajili ya Galactus
 
And Tony Stark once said

" You mess with time ..it tends to mess back ... You'll see"

So yaani hapo ni just a taste of what's to come
 
Back
Top Bottom