Marvel Cinematic Universe special thread

Mtumie Kevin fergie ujembe, twitter kule, anaweza kukuchukua, jaribu.
Aisee ahsante kwa hili wazo, japo sipo kwenye social Network nitajaribu kuingia huko nimtafute maybe bahati inaweza kuangukia kwangu. Japo possibility ya hili kuwezekana ni 0.0000001% but I will do so.

Mershahali Ali (sijui nimepatia jina) alicheza minor character kwenye series ya Luke Cage, mwaka 2019 alimfuata Kevin Feige akamuomba kama kuna nafasi yoyote ya superhero mweusi aigize. Bahati ikawa upande wake akachukuliwa kucheza kama Blade, mwezi july wanaanza kushoot hii muvi. Maybe late 2023 itatoka. Halafu nahisi itakua Connected na Morbius from Sony Spider verse since Morbius ni Vampire na Blade anawinda Vampires. Lets wait.

Thanks for motivating me Pal
 
Otapp mbona haijaruhusu manunuzi ya tickets au ndio mpaka uanze mwezi mpya?

Maana kwengine huko watu wananunua tu
[mention]Dream Queen [/mention]
Bado haijaingizwa kwenye list my dear,
Tuvute subira lakini mie hua nakata pale pale naogopa stress za kuchelewa
 
Wengine hawapendi kelele. Uko zako pale kwenye big screen then kitu kidogo tu utasikia mtu anapiga mayowe😄😄😂 inakata stimu sana😃
Watu tuko tofauti mm hizo kelele ndio zinazosababisha niende kuangalia movie na watu wengi kuna feeling fulan hivi
 
Nahisi hawapendi michangamano na socialization na tabu zake bali wanapenda tu solitude na ile hali ya kuwa na ukimya, kuna wengine wanakuwa na hometheater yaani anakuwa na chumba chake nyumbani kwake ameweka screen kubwa na viti hata nane hivi na sound system safi then anakaa peke yake anaenjoy movie au na mkewe na watoto full amani.

Mfano ona maeneo aliyokwenda kuishi Clint Barton na familia yake.
Yes, nakubali sana lifestyle ya clint kuishi kule countryside ni kuzuri sana hamna kelele nyingi.
 
Hii multverse war itakuwa tamu pale kaang akianza ku appear kwa baadhi ya movies

Ila sema Kevin ni shabiki wa comics Kama sisi na idea nyingi ametoa sana huko so

Phase 5 kwenye cosmic entity sitashangaa kama wata wa introduce

Galactus

Na knull God of symbiote
Au mukkulan ( hapa nadhani kwenye shang shi ile signal ilikuwa inawaita ) mamaae patakuwa hapatoshi

Na uwepo wa knull nina wasiwasi nao sababu Gorr the God butcher panga analotumia ni la knull

Pia venom alizungumzia uwepo wa hive kwenye venom 2

And be aware sidhani knull ni level ya kumbana na Avangers aisee labda Eternals Ila ngoja tuone

Kuhusu D2 nitaangalia hata chafu nina haraka kichizi huku nilipo sahivi hakuna cinema
 
Bado haijaingizwa kwenye list my dear,
Tuvute subira lakini mie hua nakata pale pale naogopa stress za kuchelewa
sure, kuna siku nilichelewa nusu saa nlitaman kughairi ila nikawa sina chaguo nshalipia
 
Sahau kuhusu hilo, Scarlett Johansson alituharibia baada ya kuwashtaki disney kwa kutoa muvi yake in theaters na Disney+ so kama unataa clean version subiri after 2-3 months.

Sababu ni...
  1. Ubahiri wanaona 10-20K ni kubwa sana wakati aaweza kuipakua tu torrent after sometime.
  2. Kua shabiki jina tu.

Mimi muvi inayonipeleka Cinema ni lazima iwe Marvel based.
Daah miezi miwili mingi sana nitakosa udambwi dambwi na spoilers wataniharibua movies

Nitaangalia hata chafu kwenye hizi pirates sites
 
Na knull God of symbiote
Au mukkulan ( hapa nadhani kwenye shang shi ile signal ilikuwa inawaita ) mamaae patakuwa hapatoshi
Na uwepo wa knull nina wasiwasi nao sababu Gorr the God butcher panga analotumia ni la knull
Pia venom alizungumzia uwepo wa hive kwenye venom 2
And be aware sidhani knull ni level ya kumbana na Avangers aisee labda Eternals Ila ngoja tuone
Kuhusu D2 nitaangalia hata chafu nina haraka kichizi huku nilipo sahivi hakuna cinema
Finally a worthy opponent, our battle will be Legendary 😎😉

Kwanza kabisa Gorr hajulikani ni specie ipi ila moja Kati ya nguvu zake zinatoka kwenye Allien Symbiote, na Mungu/creator wa symbiote wengine kama Venom, Carnage ni Knull. Gorr the butcher anatumia upanga wa All black Necrosword ambao ni wa huyo Knull, Gorr anaua miungu kama Thor nk na kuwafanya watumwa ila Knull ni much more like that.. Hivyo kwa muono wangu kuonekana kwa Gorr mcu na Venom badi inaashiria Kwamba soon hii character ya Knull inakuja MCU since tutakua tuna involve na Cosmic entity.

Ipo hivi...
Knull alitumia upanga wake huo anaotumia Gorr akamuua Celestial mmoja, kama tulivyoona kwenye Muvi ya Eternal they're so biiiiiiig and powerful na inavyoonekana ndio chanzo cha Existence ya wanadamu in Marvel Universe, Imagine jinsi Celestial walivyo wakubwa and powerful ila aliweza kumuua mmoja je nae ana nguvu kiasi gani???? He soooo powerful enough huyu sio level ya Stark,Cap, Widow,Clint nk labda Doctor strange.

So alivyomuua Celestial mmoja, celestial wengine walimkamata Knull na kumfungia ndani ya kichwa cha huyo Celestial na kumtupa Kwenye Void/Deep Space ambapo hakuna uhai wa kitu.

Ila sasa alivyotupwa huko alitumia cosmic energy iliyomo kwenye kichwa hicho kutengeneza Symbiote. Symbiote ndio hao akina Venom. Sasa kile kichwa alikitengeneza kikawa makazi ya watu kutoka eneo mbalimbali, Eneo hilo linaitwa Knowhere makazi ya Tinelier Tivan (The Collector), Kama mtakumbuka kwenye GoG Vol1 Gomora alimwambia Peter Quill (kama sijasahau) kwamba watu wanachimba/mining uti wa mgongo, Ubongo na vitu vingine kutoka kwenye kichwa cha Celestial.
Mwenye muvi karibu atazame hii scene the first time Quill anaenda Knowhere kukabidhi Power stone ndio gomora alisema haya.

Sasa je, Hivyo vitu wanavyochimba as Gomora said vinaenda wapi??? Sio reference ya Knull the Symbiote God???

Bwana kunguru uliwahi kuuliza ni nani aliyemuua Celestial ambae kichwa chake ndio Knowhere... nadhani umepata mwanga sasa.

Vinci....
Always I'm happy to Comply my Mission report 😉😉
 
Finally a worthy opponent, our battle will be Legendary [emoji41][emoji6]

Always I'm happy to Comply my Mission report [emoji6][emoji6]
Hell yeah [emoji3] I bet ni knull tu mwenye ujeuri huo sio mwengine
 
NSG (never serious guy) I can't wait

IMG_20220502_120349.jpg
 
Yeah, Three is Magic Number. Waigizaji Tom,Toby na Andrew wakiwa wamembeba Director Jon Watts. Nasikitika kutangaza kua Jon watts kajitoa Marvel Studio ilitakiwa aongoze muvi ya Fantastic Four na muvi zingine za Spiderman. I admired the guy😞😞
FB_IMG_16475353857666038.jpg
 
Yeah, Three is Magic Number. Waigizaji Tom,Toby na Andrew wakiwa wamembeba Director Jon Watts. Nasikitika kutangaza kua Jon watts kajitoa Marvel Studio ilitakiwa aongoze muvi ya Fantastic Four na muvi zingine za Spiderman. I admired the guy😞😞
View attachment 2208819
they seem having so much fun,
Haya mambo ndio yananifanya nijiulizege what am I doing with my life 😅, ile glorious purpose wenzangu mmeipata?
 
I'm mr Meseeeek, look at me
Can dooo...😅
FB_IMG_16515256138848458.jpg

FB_IMG_16515257001777889.jpg
 
Nimetoka kuicheki hii series inaitwa HELSTROM. Daah ni noma sana.

Sikujua kama marvel wanashirikiana na makampuni mengine zaidi ukiachana na Disney .

Hii series ni iko dark (horror) kwa zile za DC zinazobase kwenye supernaturals kama {COSTANTINE and LUCIFER}.

series hii naipa rate ya 7.5/10

======

Helstrom is an American television series created by Paul Zbyszewski for the streaming service Hulu, based on the Marvel Comics characters Daimon and Satana Hellstrom. It tells a stand-alone story set within the Marvel Cinematic Universe (MCU). The series is produced by Marvel Television and ABC Signature Studios, with Zbyszewski serving as showrunner.
 
Da'Vinci naomba unielezee series ya Moonight nimeangalia sijaambulia.kitu nimefika hadi episode ya tano jamaa mmoja wapo alivutwa chini ya mchanga akaganda
Naimbie ni sehemu gani au kitu gani hasa hujaelewa. Maana nashindwa kukusamalaizia ep zote 5
 
Hey y'all...👋

Hii ndio Theory yangu ya mwisho kuhusu muvi hii ya MoM, nitaelezea kadri ya nilivyotazama series zilizopita na kuzielewa. Tafadhali kama hujatazama hii muvi hakikisha umetazama na Series ya Loki, WandaVision, What if...?? Kisha muvi ya No way home.

Autobots let's roll...
(Kwanza kabisa kwa ambao hawana Elimu ya masuala ya muda kama Space-time, Theory of relativity ningependa mpitie baadhi ya nyuzi zangu za zamani nimeandika sana kuhusu maswala ya Time Wrapping/Bending na effects zake)

Wote mmetazama series ya loki, Baada ya Sylvie kumuua who he reamain alisababisha Kuharibika kwa timeline ambayoTVA hawawezi kuirekebisha tena (Nexus event).
Mind you Loki ipo out of time Since tva is timeless yanayofanyika kule ndio yanaweza kuleta madhara kwenye actual timeline za multiverse mbalimbali.

Moja ya sheria ya Time ni kua ukibadirisha kitu kilichotakiwa kutokea kwenye timeline fulani basi mambo yote hua yanaharibika hivyoTukio la sylvie kumua kang lilisabisha Nexus event. Kwakua mambo yameharibika kwenye timeline ndio tunakuja kuona kwenye Series ya what if...??

Baada ya kusababisha Nexus Event Matukio yanabadirika kama tulivyoona kwenye seriess ya what if. Mfano badala ya Steve Roger kupata Super Solder Serum anapata Peggy Carter na kua Captain Carter, Badala ya Steve strange kupata ajali na kuharibika mikono...anapata Rachel na kufariki jambo linalopelekea Steve kua Strange Supreme and so more...

So kwenye muvi ya Multiverse of madness baada ya Doctor strange kukosea kufanya Spell na kusababisha watu kutoka kwenye dunia nyingine (Multiverse) kuanza kumfuata kama tulivyoona kwenye muvi ya Spiderman No way home. Spell ile ilisababisha pia kuleta watu wengine wanaomfahamu doctor strange kutoka multiverse tofauti ndio hapo sasa Character wa kutoka kwenye What if kama vile Captain Carter na Strange Supreme, Zombie strange wanatokea.

Sio hivyo tu kwakua multiverse ipo wazi watu kutoka dunia nyingine wanakuja ndio hapo sasa Character kutoka Fox Century kama vile Professor X wanaingia MCU.

Ngoja niishie hapa nisiwaharibie uhondo.

Mind you, haya ni mawazo yangu na nina hakika yapo sahihi.
.
Ngoja tuone May 6th itakuaje.

I can't wait I can't wait
(In General Alladeen voice
 
Hey y'all...[emoji112]

Kwani Charles Xavier bado yupo hai??
 
Back
Top Bottom