Na knull God of symbiote
Au mukkulan ( hapa nadhani kwenye shang shi ile signal ilikuwa inawaita ) mamaae patakuwa hapatoshi
Na uwepo wa knull nina wasiwasi nao sababu Gorr the God butcher panga analotumia ni la knull
Pia venom alizungumzia uwepo wa hive kwenye venom 2
And be aware sidhani knull ni level ya kumbana na Avangers aisee labda Eternals Ila ngoja tuone
Kuhusu D2 nitaangalia hata chafu nina haraka kichizi huku nilipo sahivi hakuna cinema
Finally a worthy opponent, our battle will be Legendary 😎😉
Kwanza kabisa
Gorr hajulikani ni specie ipi ila moja Kati ya nguvu zake zinatoka kwenye Allien Symbiote, na Mungu/creator wa symbiote wengine kama Venom, Carnage ni Knull. Gorr the butcher anatumia upanga wa All black Necrosword ambao ni wa huyo Knull, Gorr anaua miungu kama Thor nk na kuwafanya watumwa ila Knull ni much more like that.. Hivyo kwa muono wangu kuonekana kwa Gorr mcu na Venom badi inaashiria Kwamba soon hii character ya Knull inakuja MCU since tutakua tuna involve na
Cosmic entity.
Ipo hivi...
Knull alitumia upanga wake huo anaotumia Gorr akamuua
Celestial mmoja, kama tulivyoona kwenye Muvi ya Eternal they're so biiiiiiig and powerful na inavyoonekana ndio chanzo cha Existence ya wanadamu in Marvel Universe, Imagine jinsi Celestial walivyo wakubwa and powerful ila aliweza kumuua mmoja je nae ana nguvu kiasi gani???? He soooo powerful enough huyu sio level ya Stark,Cap, Widow,Clint nk labda Doctor strange.
So alivyomuua Celestial mmoja, celestial wengine walimkamata Knull na kumfungia ndani ya kichwa cha huyo Celestial na kumtupa Kwenye
Void/Deep Space ambapo hakuna uhai wa kitu.
Ila sasa alivyotupwa huko alitumia cosmic energy iliyomo kwenye kichwa hicho kutengeneza Symbiote. Symbiote ndio hao akina Venom. Sasa kile kichwa alikitengeneza kikawa makazi ya watu kutoka eneo mbalimbali, Eneo hilo linaitwa Knowhere makazi ya Tinelier Tivan (
The Collector), Kama mtakumbuka kwenye GoG Vol1 Gomora alimwambia Peter Quill (kama sijasahau) kwamba watu wanachimba/mining uti wa mgongo, Ubongo na vitu vingine kutoka kwenye kichwa cha Celestial.
Mwenye muvi karibu atazame hii scene the first time Quill anaenda Knowhere kukabidhi Power stone ndio gomora alisema haya.
Sasa je, Hivyo vitu wanavyochimba as Gomora said vinaenda wapi??? Sio reference ya Knull the Symbiote God???
Bwana kunguru uliwahi kuuliza ni nani aliyemuua Celestial ambae kichwa chake ndio Knowhere... nadhani umepata mwanga sasa.
Vinci....
Always I'm happy to Comply my Mission report 😉😉