Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Najua inaweza kuwa just a "pipe dream", ila naishi kuja kuona "Comic Convection (ComicCon)" kama hii ya San Diego (SDCC) mwaka huu, itakapo fanyika tanzania. i will be the happiest creature on that day.
 
Wakuu, Iron heart.


Kama mnakumbuka iron man 1, kule kwenye Cave alipokuwa anatengeneza mark1 suit, sauti ya nyundo, damn marvel. DAMN.
Aiseee hapo kuna shuri huyo mwingine ni nani?

Movie za mcu hautakiwi kumiss hata moja,naona kuna supreme hapo wang,kuna iron heart na details kibao

Ngoja nimvizie Canadian Lad kule youtube

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Aiseee hapo kuna shuri huyo mwingine ni nani?

Movie za mcu hautakiwi kumiss hata moja,naona kuna supreme hapo wang,kuna iron heart na details kibao

Ngoja nimvizie Canadian Lad kule youtube

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
huyo dogo ndo IronHeart bro.

mara ya kwanza sikujua ni nani, mpaka hapo walipomuonesha anaponda chuma, then kikadondoka kichuma hivi, ukikianganlia vizuri kina shape ya moyo kiaina, ndo ikaclick, chuma(iron) plus moyo = IronHeart.


Plus nimeona canadian lad kacomment kwenye og trailer pagfe ya mcu hapo youtube, kalielewa trailer, plus, RIP chadwick
 
Najua inaweza kuwa just a "pipe dream", ila naishi kuja kuona "Comic Convection (ComicCon)" kama hii ya San Diego (SDCC) mwaka huu, itakapo fanyika tanzania. i will be the happiest creature on that day.
comiccon in Tz it’s like living in a f*cking dream,
God, i love you guys(in amazing spider man voice) ukweli nasema this is my favourite thread so far

and nlikuwa sijajua kuhusu event ya Marvel nimeshtushwa na text from WhatsApp nikaja humu mbio nakuta the same thing ✊🏾... tutaanzisha club ya MCU tz mpaka watu notice maana tuko wengi
FAA18493-9B20-4418-9EA4-65C05E62B621.jpeg
 
Ila 2025 kutokuwa kwa Moto uku Kang dynasty kule secret wars natumai watachua criticism za phase 4 wakazifanyia kazi
 
niaje wakuu, natumai mpo pouwa. mimi ninataka ku-share some nuggets of gold katika maswala ya film, ingawa sio mcu, ila madirector au events, na actors ni favourite kutoka mcu.

1. The gray man
Aisee, hii kitu iko pouwa. kama mliangalia terminal list mkaipenda, basi hii utaipenda pia. ina vibe la "john wick, nobody na extraction" kwa pamoja. Directors ni The Russo bros(hakuna mcu bila hawa jamaa), wameitendea vyema movie, pia yupo "cap A" katika nafasi ya roho mbaya, kwa maoni yangu kaitendea vyema sana, Pia kuna ryan gosling, mwamba alipotea sana, kafanya vyema sana, hopefully ndo itakuwa time ya yeye kurudi kwenye spotling.

imeshatoka, imeandalia na netflix.


2. The Woman King
Bila shaka wote tunawafahamu "Dora miraje", wale walinzi wa familia ya kifalme ya Wakanda, pia wanashika nafasi ya ujenerali katika nchi ya wakanda(kwenye what if tuliona mama yake black panther ni general anayeongoza jeshi la waknda, pia alitoka katika kikosi cha Dora miraje){Pia Black ponther ali-freeze alivyomuona lupita nyongo ambae ni covert operative/spy kutoka kikosi cha dora miraje, labda tungekuja kuona black panther akimuoa huyo dora miraje.[Until Valhalla, Chadwick.]}.

Sasa, tushawahi kufikiria labda Dora miraje ni "Inspiration" kutoka historia ya kweli? Kwamba kuna kikundi cha kijeshi cha wanawake watupu kilichowahi kuwepo hapa africa? Na kilikuwa vyema katika medani za vita?

Woman King inatupa muono kidogo wa kikosi cha walinzi wanawake wa ufamle wa Dahomey(Dahomey women warriors), waliokuwa na jukumu la kulinda familia ya kifamle na ufamle wa dahomey kwa ujumla. imekaa pouwa sana{trailers}, pia humo ndani kuna fight scenes{kutoka kwenye trailer} zimekaa ki-dora miraje sana(tunajua kutokana na mcu, dora miraje wako pouwa sana, si waoga, na wanajua wakifanyacho, well, bucky, cap A mpya na yule Cap A wa muda kutoka falcon and winter soldier, wanaifahamu shughuli yao ipasavyo). Dahomey inapatika huko Benin.

Waigizaji, mimi nimemuona na kumfahamu mmoja tu, yule mother black wa kwenye Suicide squad. anatoa shoo ya nguvu.

bado ni trailer tu, ila inatoka mwezi wa 9 au 10. kwa maoni yangu, ni worth the watch.

Nimemaliza kuangalia The Gray man nachotaka kusema tu ni kwamba

Russo brothers wanajua kutengeneza movie.
 
MCU phase 4 imeisha tunaingia phase mpya and Movie & Series mpya zimeshatangazwa,

Kama wadau mnaonaje mafanikio ya movies & series za phase iliyopita 2021/2022...
  1. Zipi ambazo uliona ni hits
  2. Zipi ambazo umehis ni miss
  3. Na sababu...
85B41A1F-1715-489A-9F81-5990E0B195F8.jpeg
 
I pledged myself that I won't be a simp to any further information given about MCU announcement but it appear I can't dread it or run from it.
I can say that I'm so overwhelmed with and excited about those announcement and trailers. I can't wait I can't wait I can't wait I can't wait for then. I'm suffocating😅😍😍
FB_IMG_16586719608815974.jpg
 
Back
Top Bottom