I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Steven Yeun anasemekana amepata nafasi ya uhusika kwenye ‘THUNDERBOLTS’.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli it Will be better coz I like the guy. Nitapenda zaidi ksma atacheza character ya amedius Cho. Lakini je itakuaje hulk, she hulk, Skaar, cho wote wawepo??Steven Yeun anasemekana amepata nafasi ya uhusika kwenye ‘THUNDERBOLTS’. View attachment 2527958
Inasemekana ni sentryKama ni kweli it Will be better coz I like the guy. Nitapenda zaidi ksma atacheza character ya amedius Cho. Lakini je itakuaje hulk, she hulk, Skaar, cho wote wawepo??
Cho sio member wa Thunderbolt bali Illuminati...basi ngoja tusubiri taarifa kami
Kuna mkono wa hatari sana humu, kuna kile kipande cha Nick Fury anapigwa ambush pale barabaran [emoji119]Hivi kuna movie ya MCU yenye actions nyingi kama CAPTAIN AMERICA: the winter solder?View attachment 2527595View attachment 2527596View attachment 2527597View attachment 2527598
Amanda ; we have a problem[mention]Ezio Ezio [/mention] Thank you kwa recommendation ya Will Trent na mbwa wake [emoji16]
Waache tu aisee.
Hiyo muvi imepaishwa na muigizaji wake. Ilanhaina kitu chochote humo. Sehemu nzuri ni iliishia pale dogo anataka kuuwawa(flashback) tifauti na hapo ni uchafu tuTunatofautiana aisee
Kwenye ile muvi Black Adam alikuwa na uwezo mkubwa sana ukilinganisha na wenzake hivyo naona imekuwa ngumu kutengeneza action za maana. Kitu alichokuwa anafanya Black Adam sanasana ilikuwa ni kuwapeleka watu angani na kuwaachia wadondoke chini. Action zake zijazipenda sana. Halafu yule jamaa ambaye alikuwa ana uwezo wa kuwa mkubwa yaani giant zile power binafsi sijazipenda[emoji38][emoji38]
Sema kuna katuni gani zinaandaliwa hukoMCU kuna mzigo gani unakuja mwaka huu?
kwenye series mwaka huu kuna Secret invasion, loki Season2, What if season2 na Echo tareh bado hazijatangazwaMCU kuna mzigo gani unakuja mwaka huu?
All female avengers hii kitu inasemekana aliyeanzisha ni BRIE LARSON ( CAPTAIN MARVEL ).Nasikia kuna agenda pale marvel ya kuwaweka avengers wote wanawake.
Hii inshu ina ukweli wowote ama ni rumours tu maana mimi nliposkia hivi stimu ya kufatilia MCU imekata ghafla.
Ezio Ezio
War machine
Da'Vinci
Ubumuntu
All female avengers hii kitu inasemekana aliyeanzisha ni BRIE LARSON ( CAPTAIN MARVEL ).
Baada ya ile scene ambayo wanawake waliungana pamoja kumsaidia PETER PARKER ( SPIDERMAN ) kwenye avengers endgame kusifiwa na watu ndio huyu Brie Larson akasema anataka au anatamani kuwe na all female avengers movie.
Binafsi sinamini kama itafanyika hiyo muvi ukizingatia mpaka sasa kuna baadhi wa wanaume wako confirmed kuwa watakuwepo kwenye avengers zijazo tukianza na Sam Wilson ( captain america ) mpya na falcon mpya ( walimtambulisha kwenye series ya falcon and the winter soldier ).
Pia Jonathan Major's Kang ndie atakuwa villain wakati huo huo kuna new characters wanaendelea kutambulishwa kama vile Adam Warlock ( kaigiza Will Poulter )
Pia kuna tetesi MOON KNIGHT na DARE DEVIL, na NAMOR wanaweza kuwepo.
Thunderbolts ikitoka pia tutarajie characters wengine kuwaona ambapo wanaume wengi tu.
Shang Chi nae inasemekana anatakuwepo kwenye avengers so tungoje tuone.
Ila kujibu swali lako ni kwamba kweli tetesi zinazunguka na chanzo na mawazo binafsi ya Brie Larson kutaka all female avengers ila sio kwamba huo ndio msimamo wa mcu.
Maybe m wrong. Tungoje tuone.
Daredevil au Castle, Frank.??
Atarudi kwenye dare devil born again.Daredevil au Castle, Frank.??