Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Nilitaka nimwambie hivyo hivyoUmemsahau Thor Odinson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nimwambie hivyo hivyoUmemsahau Thor Odinson
Acha bhana, kumbe mambo ni moto huko kwenye Secret Invasion.... ngoja niianzeView attachment 2699994
Kwa hiyo Rhodes muda wote toka alipopata ajali ya kuparalyze kwenye Captain America; civil war akawa kidnapped na skrulls.
Infinity war na Endgame hakuwa Rhodes human; ila ni Skrull!?? Marvel wamejua kutukoroga vichwa. Ngoja tuisubiri THE MARVELS tuone imekuweje baada ya hapa[emoji16][emoji16][emoji119]
Yes aisee.Umemsahau Thor Odinson
Thor nguvu zake zote G'iah anazo pia plus za valkyrie.Umemsahau Thor Odinson
Unapoambiwa DNA maana yake ni mle mle.Wapo bado Dr. Strange, wanda na wengineo. Copy si sawa na Og.
Na ile power ya sijui teleportation au invisibility kaitoa wapi kwa naniUnapoambiwa DNA maana yake ni mle mle.
Dr strange unakumbuka alichofanywa na ebony maw kwenye infinity war?
Sasa ebony maw ni mmoja tu kati ya watu 21 ambao g'iah ana nguvu exactly kama zao.
Strange alipigwa na ebony maw mmoja, vipi akutane na mtu ana nguvu za Ebony maw+Thor+Captain marvel+Hulk+Thanos+...........
Kifupi g'iah anahitaji mijitu kama Galactus hivi au ma hero wote wa mcu wamchangie.
Invisibility ametoa kwa Ghost yule wa kwenye ant man and the wasp.Na ile power ya sijui teleportation au invisibility kaitoa wapi kwa nani
Mzee huu mzigo ni mkali nidownload na story yake inahusu nini kwa ufupi
Bro, ana experience ya kum-match thor?Thor nguvu zake zote G'iah anazo pia plus za valkyrie.
Umeiangalia episode ya mwisho? ile list umeiona?
Thor
Valkyrie
Captain america
Ebony maw
Thanos
Cull obsidian
Groot
Hulk
Abomination
Captain marvel
Drax
Extremis
Corvus glaive
Frost beast
Ghost
Outriders
Chitauri
And the list goes on wapo ka 20 ivi nguvu zao zoote zipo kwa mtu mmoja.
Bro, ana experience ya kum-match thor?
Thor ameenda against literal gods kwenye life yake, amemjerui hata Zeus, mkuu.
Tumeona stormbreaker ikiizidi nguvu beam ya Infinity gauntlet, sasa ile beam ya Captain Marvel itaizidi beam inayotolewa na Infinity stones.
Thor anamkalisha vizuri kabisa Hulk, Groot.
Valkyrie, Cap A., Abomination na wengineo wote wanakalishwa chini na Thor Odinson.
Mkuu, Thanos wa Infinity war au Endgame anamkalisha vizuri tu huyo Giah.
Captain Marvel anamkalisha vizuri tu Giah, tena akija ile version ya kwenye endgame ndo kabisa mkuu.
THOR ODINSON, tena bila hata ya kumweka in his ultimate god level, Anamkalisha vizuri sana Giah.
Kusema Galactus ndio wa kuja kuchapa Giah ni matumizi mabaya ya wale characters.
MCU wamefanikiwa kutengeneza moja ya characters Overpowered, ila huyo character hampigi Thor Odinson, King of Asgard, God of Lighting and Thunder.
Giah ni "COPYCAT" hana lolote kwa wenye powers zao kiasili.Woyooooooooooo, nasoma huku nakenua vile unavyomsifia my crush Thor [emoji2960], btw umeeleza ukweli mtupu japo sijamuona Giah ila najua anadundwa na Thor, God of Lighting and Thunder, mtu mbishi asiyekubali kushindwa [emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Aaah wapi.Bro, ana experience ya kum-match thor?
Thor ameenda against literal gods kwenye life yake, amemjerui hata Zeus, mkuu.
Tumeona stormbreaker ikiizidi nguvu beam ya Infinity gauntlet, sasa ile beam ya Captain Marvel itaizidi beam inayotolewa na Infinity stones.
Thor anamkalisha vizuri kabisa Hulk, Groot.
Valkyrie, Cap A., Abomination na wengineo wote wanakalishwa chini na Thor Odinson.
Mkuu, Thanos wa Infinity war au Endgame anamkalisha vizuri tu huyo Giah.
Captain Marvel anamkalisha vizuri tu Giah, tena akija ile version ya kwenye endgame ndo kabisa mkuu.
THOR ODINSON, tena bila hata ya kumweka in his ultimate god level, Anamkalisha vizuri sana Giah.
Kusema Galactus ndio wa kuja kuchapa Giah ni matumizi mabaya ya wale characters.
MCU wamefanikiwa kutengeneza moja ya characters Overpowered, ila huyo character hampigi Thor Odinson, King of Asgard, God of Lighting and Thunder.
Mwaka huu project zilizobakiawale tulio kuwa tunawatch secret invasion week in n out tujipoze na hili trailer
Unai rate ngapi?Best Team from the best Series of marvel[emoji1666][emoji91][emoji91]View attachment 2708346
Hii kitu ni 9.9/10
7.6/10
Hii habari imenisikitisha sana 🥲Kraven the hunter wameipostpone mpk mwakan