Marvel Cinematic Universe special thread

View attachment 2699994

Kwa hiyo Rhodes muda wote toka alipopata ajali ya kuparalyze kwenye Captain America; civil war akawa kidnapped na skrulls.

Infinity war na Endgame hakuwa Rhodes human; ila ni Skrull!?? Marvel wamejua kutukoroga vichwa. Ngoja tuisubiri THE MARVELS tuone imekuweje baada ya hapa[emoji16][emoji16][emoji119]
Acha bhana, kumbe mambo ni moto huko kwenye Secret Invasion.... ngoja niianze
 
Umemsahau Thor Odinson
Thor nguvu zake zote G'iah anazo pia plus za valkyrie.
Umeiangalia episode ya mwisho? ile list umeiona?

Thor
Valkyrie
Captain america
Ebony maw
Thanos
Cull obsidian
Groot
Hulk
Abomination
Captain marvel
Drax
Extremis
Corvus glaive
Frost beast
Ghost
Outriders
Chitauri

And the list goes on wapo ka 20 ivi nguvu zao zoote zipo kwa mtu mmoja.
 
Wapo bado Dr. Strange, wanda na wengineo. Copy si sawa na Og.
Unapoambiwa DNA maana yake ni mle mle.

Dr strange unakumbuka alichofanywa na ebony maw kwenye infinity war?

Sasa ebony maw ni mmoja tu kati ya watu 21 ambao g'iah ana nguvu exactly kama zao.

Strange alipigwa na ebony maw mmoja, vipi akutane na mtu ana nguvu za Ebony maw+Thor+Captain marvel+Hulk+Thanos+...........

Kifupi g'iah anahitaji mijitu kama Galactus hivi au ma hero wote wa mcu wamchangie.
 
Na ile power ya sijui teleportation au invisibility kaitoa wapi kwa nani
 
Mzee huu mzigo ni mkali nidownload na story yake inahusu nini kwa ufupi

Omni Man ni Super Hero, yuko Powerful as they come

Tuseme Level ya Superman na ana Squad kabisa pamoja na Heroes wengine Kama 7 ya The Boys

Sema yuko ana Issues, Kwenye Public anakuwa mwema ila nyuma ya Pazia ni Psychopath... Kashawahi fanya Killing mpaka akadestroy the planet

Basically ni Homelander Origin Story sema iko na More Depth
 
Thor nguvu zake zote G'iah anazo pia plus za valkyrie.
Umeiangalia episode ya mwisho? ile list umeiona?

Thor
Valkyrie
Captain america
Ebony maw
Thanos
Cull obsidian
Groot
Hulk
Abomination
Captain marvel
Drax
Extremis
Corvus glaive
Frost beast
Ghost
Outriders
Chitauri

And the list goes on wapo ka 20 ivi nguvu zao zoote zipo kwa mtu mmoja.
Bro, ana experience ya kum-match thor?
Thor ameenda against literal gods kwenye life yake, amemjerui hata Zeus, mkuu.

Tumeona stormbreaker ikiizidi nguvu beam ya Infinity gauntlet, sasa ile beam ya Captain Marvel itaizidi beam inayotolewa na Infinity stones.

Thor anamkalisha vizuri kabisa Hulk, Groot.
Valkyrie, Cap A., Abomination na wengineo wote wanakalishwa chini na Thor Odinson.

Mkuu, Thanos wa Infinity war au Endgame anamkalisha vizuri tu huyo Giah.

Captain Marvel anamkalisha vizuri tu Giah, tena akija ile version ya kwenye endgame ndo kabisa mkuu.

THOR ODINSON, tena bila hata ya kumweka in his ultimate god level, Anamkalisha vizuri sana Giah.

Kusema Galactus ndio wa kuja kuchapa Giah ni matumizi mabaya ya wale characters.

MCU wamefanikiwa kutengeneza moja ya characters Overpowered, ila huyo character hampigi Thor Odinson, King of Asgard, God of Lighting and Thunder.
 
.
 
Attachments

  • IMG-20230727-WA0001.jpg
    IMG-20230727-WA0001.jpg
    39.2 KB · Views: 9

Woyooooooooooo, nasoma huku nakenua vile unavyomsifia my crush Thor [emoji2960], btw umeeleza ukweli mtupu japo sijamuona Giah ila najua anadundwa na Thor, God of Lighting and Thunder, mtu mbishi asiyekubali kushindwa [emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Giah ni "COPYCAT" hana lolote kwa wenye powers zao kiasili.
 
Bro, ana experience ya kum-match thor?
Thor ameenda against literal gods kwenye life yake, amemjerui hata Zeus, mkuu.

Tumeona stormbreaker ikiizidi nguvu beam ya Infinity gauntlet, sasa ile beam ya Captain Marvel itaizidi beam inayotolewa na Infinity stones.

Thor anamkalisha vizuri kabisa Hulk, Groot.
Valkyrie, Cap A., Abomination na wengineo wote wanakalishwa chini na Thor Odinson.

Mkuu, Thanos wa Infinity war au Endgame anamkalisha vizuri tu huyo Giah.

Captain Marvel anamkalisha vizuri tu Giah, tena akija ile version ya kwenye endgame ndo kabisa mkuu.

THOR ODINSON, tena bila hata ya kumweka in his ultimate god level, Anamkalisha vizuri sana Giah.

Kusema Galactus ndio wa kuja kuchapa Giah ni matumizi mabaya ya wale characters.

MCU wamefanikiwa kutengeneza moja ya characters Overpowered, ila huyo character hampigi Thor Odinson, King of Asgard, God of Lighting and Thunder.
Aaah wapi.
G'iah ni badass subirini.
 
Back
Top Bottom