mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
najuamshamba_mwingine Amini usiamin hii movie itakuwa moja ya movie kali za mwakani
wanasema ipo based kwenye story ya 'all star superman'
na ukifuatilia vyote comic na animated movie vina ratings nzuri, mitandaoni sentiment ni nzuri