Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
Ukweli ni kwamba;
Baba ake aliitwa Marvin Gay Sr. A Minister/ Preacher somewhere, but baadae yakamshinda akawa mlevi na choko, anavaa chupi, gauni , mawigi na vibanio vya mke wake.....kifamilia akawa ni mnyanyasaji kwa watoto hasa kwa Marvin mdogo, kazi hataki kufanya, ikabidi maza akomae na uhausi girl kupata mshiko wa kuwalea wanae wanne!
Marvin gay jr alivyokuwa mkubwa akabadilisha hilo jina la mwisho Gay likawa Gaye ili kuondoa dhana ya kipunga, maana kitaa walikuwa wanachekwa na kutaniwa sana!
Sasa since Marvin gay jr anazaliwa baba ake hakumpenda akisema maza kacheza faulo, so kakua bado baba hampendi jr...alivyotoboa kimuziki mshua hakupenda akawa na wivu balaa, sasa huyo mzee ni mlevi halafu punga, akawa anapenda kumpa kichapo maza wao, siku ya siku karatasi ya bima ikapotea ndani, kama kawaida Sr akafoka kwa maza yao na anataka kumpiga!....ndio Jr akampa kisago kikali!
Mzee kuona mwanae kamdhalilisha akaenda chumbani akaja na bastola kaificha, akamfyatulia risasi kadhaa....jamaa akaimbiwa pambio!
So Marvin gaye alikuwa mtu wa mademu kinoma, japo ameacha mtoto mmoja, mbaba sasa hivi anaitwa Marvin Gaye III, watu kinachowanganya ni majina kufanana....but mshua ndo alikuwa Amber Marvin
Sent using
Jamii Forums mobile app