Marvin Gaye: Let's get it on.

Marvin Gaye: Let's get it on.

Sexual healing binafsi naona ndio wimbo wake bora. One of the best sensual songs.
 
Eti ni kweli jamaa baba ake alimuwahisha kukwepa fedheha?
 
Fedheha ya nini? kwani alikuwa na shida gani?
Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
 
Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
Alikuwa punga

God first
 
Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
Baba yake Marvin alimfumua risasi mbili lakini si kweli kuwa baba yake (Marvin Gaye Sr.) alimfumania. Kulikuwa na dispute ya kifamilia.
 
Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
Ukweli ni kwamba;

Baba ake aliitwa Marvin Gay Sr. A Minister/ Preacher somewhere, but baadae yakamshinda akawa mlevi na choko, anavaa chupi, gauni , mawigi na vibanio vya mke wake.....kifamilia akawa ni mnyanyasaji kwa watoto hasa kwa Marvin mdogo, kazi hataki kufanya, ikabidi maza akomae na uhausi girl kupata mshiko wa kuwalea wanae wanne!

Marvin gay jr alivyokuwa mkubwa akabadilisha hilo jina la mwisho Gay likawa Gaye ili kuondoa dhana ya kipunga, maana kitaa walikuwa wanachekwa na kutaniwa sana!

Sasa since Marvin gay jr anazaliwa baba ake hakumpenda akisema maza kacheza faulo, so kakua bado baba hampendi jr...alivyotoboa kimuziki mshua hakupenda akawa na wivu balaa, sasa huyo mzee ni mlevi halafu punga, akawa anapenda kumpa kichapo maza wao, siku ya siku karatasi ya bima ikapotea ndani, kama kawaida Sr akafoka kwa maza yao na anataka kumpiga!....ndio Jr akampa kisago kikali!

Mzee kuona mwanae kamdhalilisha akaenda chumbani akaja na bastola kaificha, akamfyatulia risasi kadhaa....jamaa akaimbiwa pambio!

So Marvin gaye alikuwa mtu wa mademu kinoma, japo ameacha mtoto mmoja, mbaba sasa hivi anaitwa Marvin Gaye III, watu kinachowanganya ni majina kufanana....but mshua ndo alikuwa Amber Marvin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google upate mkasa mzima juu ya kifo chake....

Nice thread though. I'll follow
 
Back
Top Bottom