Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Nani anaikumbuka hii ngoma?
Rest in Peace Marvin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fedheha ya nini? kwani alikuwa na shida gani?Eti ni kweli jamaa baba ake alimuwahisha kukwepa fedheha?
Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.Fedheha ya nini? kwani alikuwa na shida gani?
Alikuwa pungaKuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
Sexual healing.M napenda sex healing.
Baba yake Marvin alimfumua risasi mbili lakini si kweli kuwa baba yake (Marvin Gaye Sr.) alimfumania. Kulikuwa na dispute ya kifamilia.Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
The same to meSexual healing binafsi naona ndio wimbo wake bora. One of the best sensual songs.
Pamoja mkuu.
Fedheha gani?Eti ni kweli jamaa baba ake alimuwahisha kukwepa fedheha?
Ukweli ni kwamba;Kuna yaliyokuwa yanasemwa jamaa alikuwa shoga eti babake akamfumania analiwa baada ya onesho akamfyatulia risasi, ndio nauliza ni kweli au zilikuwa story za za shule kusogeza muda wa ugali.
Sio kweli...ila ni babaake mzazi ndo alikuwa punga!Alikuwa punga
God first
Sexual healing binafsi naona ndio wimbo wake bora. One of the best sensual songs.
Trust me wit