Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sio kweli usemacho. We msimamo wako ni kutetea uwekezaji wa hii kampuni na sio uwekezaji kwa maana ya uwekezaji. Kilio cha wengi ni kuhusu huo mkataba na sio uwekezaji. Na huo mkataba hauwezi kurekebishwa, kwani ni watanzania wenzetu waliokuja kwa mgongo wa hao DP World. Kelele ama njia nyingine yoyote ndio itaweza kuzuia huu wizi kwa kichaka cha uwekezaji.Wewe huu ndo msimamo wako na wengine..
Lakini wapo wanaopinga kabisa uwekezaji..