Sio kweli usemacho. We msimamo wako ni kutetea uwekezaji wa hii kampuni na sio uwekezaji kwa maana ya uwekezaji. Kilio cha wengi ni kuhusu huo mkataba na sio uwekezaji. Na huo mkataba hauwezi kurekebishwa, kwani ni watanzania wenzetu waliokuja kwa mgongo wa hao DP World. Kelele ama njia nyingine yoyote ndio itaweza kuzuia huu wizi kwa kichaka cha uwekezaji.Wewe huu ndo msimamo wako na wengine..
Lakini wapo wanaopinga kabisa uwekezaji..
Hao Arab Contractors wamekuja kujenga tu bwawa, likiisha wanaondoka na wala hawatasimia uendeshaji wa hilo bwawa milele. Au unadhani hatujui tofauti ya mikataba?Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Pengo hajasema kama Mkataba urekebishwe kasema why hatuwezi kuendesha bandari wenyewe..Sio kweli usemacho. We msimamo wako ni kutetea uwekezaji wa hii kampuni na sio uwekezaji kwa maana ya uwekezaji. Kilio cha wengi ni kuhusu huo mkataba na sio uwekezaji. Na huo mkataba hauwezi kurekebishwa, kwani ni watanzania wenzetu waliokuja kwa mgongo wa hao DP World. Kelele ama njia nyingine yoyote ndio itaweza kuzuia huu wizi kwa kichaka cha uwekezaji.
Kenya, kanisa, wakristo wote, wanyarwanda, mawakili wa mchongo nk nk nkTangu mjadala umenza nitajie jina la mtu aliyepinga uwekezaji. wote niliowasikia mimi wanaunga mkono uwekezaji lakini wanapinga aina vipengele vya mkataba
Kwa hili, ndo ujuwe ishu siyo waarabu, bali vipengere vya mkatabaKomredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Ndo watoe majibu ya hizo WHY zao..!! Shida ipo wapi?Pengo hajasema kama Mkataba urekebishwe kasema why hatuwezi kuendesha bandari wenyewe..
Shivji kasema serikali haishindwi inafanya kusudi ili kuuza...
Hao ni wachache katika Wengi ambao hawataki kabisa uwekezaji wa Aina yeyote... wanataka serikali ifanye
Oyaa jamaa kazi wamemaliza kule almost 90% ya kazi tayari na maji yashaanza kuingia...Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Ndugu hako kakijana usikatetee sana kajizi sana hako kwenye hilo tukio kalikwapua simu ya huyo jamaa aliebeba tofali
Kwasababu wanajua viongozi wetu ni wahuni, wanatumia mwanya wa uwekezaji kwa kutuzunguka. Hao uliowataja wanajua fika hao DP world ni bosheni tu, bali viongozi wetu na kina Rostam ndio wenye hiyo deal.Pengo hajasema kama Mkataba urekebishwe kasema why hatuwezi kuendesha bandari wenyewe..
Shivji kasema serikali haishindwi inafanya kusudi ili kuuza...
Hao ni wachache katika Wengi ambao hawataki kabisa uwekezaji wa Aina yeyote... wanataka serikali ifanye