Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru
CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa wanawake kwenye mapambano ya uhuru wa Tanganyika.
Mama wa Taifa Bibi Titi alisema kwenye kitabu chake kuwa, ...wanawake walijitolea kupambania uhuru kwa dhati wakitambua kuwa WANAUME NI WAOGA katika mapambano hayo... mwisho wa kunukuu
GT wa Jamii Forums. Tunauonaje msimamo na maoni hayo ya Bibi Titi katika maisha yetu ya leo? Je nafasi ya sisi wanaume kwenye kupambania uhuru na haki imewakilishwa vyema kwenye situation hizi za
Tozo
Mfumuko wa bei
Udikteta
Utendaji mbovu wa Polisi
UKatili unaofanywa na dola
Ubadhirifu
Katiba isiyoheshimiwa na watawala
Na mengine mengi.
Tuna mtazamo gani kupinga ama kuunga mkono hoja ya Mama wa Taifa?